Coronavirus: Madaktari wa Marekani wamuomba Trump kutoa ushirikiano kwa Rais Mteule

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,936
2,000
Madaktari nchini humo wameungama kumuomba Rais Donald Trump kutoa taarifa muhimu kwa Rais Mteule, Joe Biden ili kuokoa maisha ya wananchi na kuzuia sekta ya afya kuelemewa.

Taasisi kubwa tatu za Afya nchini humo zimesema hatua zinatakiwa kuchukuliwa ili kusaidia utawala mpya wa Democratic kuanza utekelezaji wa mipango yao ya kupambana na mlipuko huo.

Dkt. Vivek Murthy ambaye ni miongoni mwa walio kwenye Kikosi Kazi cha COVID19 kilichoundwa na Biden amesema yeye na Washauri wengine wanashindwa kufanya majadiliano na utawala uliopo.

====

The US medical establishment has joined forces to urge Donald Trump to share crucial data with the president-elect, Joe Biden, in order to save lives and prevent the country’s healthcare system from being overwhelmed.

An open letter from three leading healthcare organizations says action is needed to help the Democrat’s new administration to ramp up its coronavirus plans as state and local governments scramble to fight the virus in the absence of a coordinated national strategy, Reuters reports.

“Real-time data and information on the supply of therapeutics, testing supplies, personal protective equipment, ventilators, hospital bed capacity and workforce availability to plan for further deployment of the nation’s assets needs to be shared to save countless lives,” said the letter, signed by heads of the American Medical Association, the American Nurses Association and the American Hospitals Association.

It comes after Biden warned “more people may die” if the incumbent president keeps blocking a smooth succession to the next administration in January.

Dr Vivek Murthy, co-chair of Biden’s Covid-19 taskforce, said on Tuesday that he and other medical advisers had been unable to discuss the pandemic with current administration officials, an obstacle that could compromise theUS response to the virus.
 

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
31,904
2,000
Trump anahaha!
7654321.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom