International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Aliyekuwa Rais wa zamani wa Ufaransa Valery Giscard d'Estaing amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94,baada ya kuugua homa inayosababishwa na Virusi vya Corona. Rais huyu aliiongoza nchi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna watu wanaona dunia na wamarekani hawakumuelewa Trump. Tabia ya kibabe na kujitwisha upolisi wa dunia ni sera iliyoiletea mzigo mkubwa kifedha marekani na kusababisha uchumi wake kuzorota...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Mufti wa ISIS: Niliitembelea Saudia mara mbili kukusanya pesa Nov 30, 2020 07:04 UTC [https://media] Mufti wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) huko kaskazini mwa Iraq amefichua kuwa, aliwahi...
8 Reactions
101 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa Ripoti iliyotolewa na UN, takriban watu Milioni 22 nchini humo wanakabiliwa na ukosefu wa chakula, ambapo idadi hiyo imeongezeka kutoka Milioni 15.6 ya mwaka 2019 Shirika la Chakula...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizara ya Sheria imeishutumu Kampuni ya Facebook kwa kubagua Wafanyakazi wa nchi hiyo katika ajira na kupendelea wahamiaji Mamlaka imesema imefungua shtaka baada ya kufanya uchunguzi kwa muda wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mamlaka ya Singapore imekuwa nchi ya kwanza duniani kuruhusu nyama ambayo haijatoka kwa mnyama aliyechinjwa. Maamuzi hayo yametoa mwanya wa kuanza kuliwa kwa nyama ya kuku ambayo imetengenezwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanamgambo wa kundi la Kiislamu la Boko Haram wametoa video mpya ambayo inasema wapiganaji wake wa Boko Haram ndio waliotekeleza mauaji ya wakulima 78 katika eneo la Zabarmari karibu na Maiduguri...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Jaribio hilo linatafsiriwa kama mpango wa serikali kuminya mawasiliano ya watu nchini Urusi Serikali ya Urusi imefanikiwa kufanya majaribio ya mtandao uitwao Runet, ambao ni mbadala wa mtandao wa...
6 Reactions
46 Replies
8K Views
Yes, it is not that far-fetched people. Trump may run again, as a Republican, in 2024. Of course, he will have to go through the rigmarole of the caucuses and primaries and win those contests...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Marekani imeiwekea vikwazo kampuni ya CEIEC kutoka nchini China na kuishutumu kuunga mkono jitihada za Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kuminya Demokrasia. Mamlaka zimesea CEIEC iliunga mkono...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inakuwaje! Makaburi mengi mapya yanachimbwa huko Tehran. Kwanini wanaandaa makaburi mapema. Kweli sababu ni korona? Ndio style gani hii ya msiba? Aidha wanasayansi wote wa nyuklia Iran wameamua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Uingereza imeidhinisha chanjo ya COVID19 kutoka Pfizer/BioNTech kwa matumizi ambapo inaweza kuanza kutumika ndani ya siku chache zijazo kwa makundi ya watu waliopewa kipaumbele. Mamlaka zimesema...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Polisi nchini Nigeria jimbo la Ogun limewakamata washukiwa wawili katika jengo ambalo linatumika kushikilia wasichana na kuwatunga mimba, vilevile watoto wanaozaliwa kuuzwa kimagendo. Msemaji wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa (UN) na Ethiopia zimefikia makubaliano ya kuruhusu misaada katika Jimbo la Tigray ambapo tathmini itaanza kufanyika leo. Imeelezwa kuwa, mamilioni ya wananchi wapo hatarini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanamke mmoja amekamatwa Brazil kwa kujifanya mjamzito kumbe ameficha dawa za kulevya (cocain) kwenye tikiti maji. Amekamatwa akitaka kupanda basi kwenda Rio de Janeiro, alipokea dawa hizo toka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama ya Katiba imemfutia Waziri Mkuu, Prayuth Chan-ocha mashtaka ya kukiuka vifungu vya maadili katika Katiba na kumruhusu kubaki katika wadhifa wake. Alituhumiwa wa Wapinzani kuvunja Sheria...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iran italipiza kisasi mauaji ya mwanasayansi maarufu, shahidi Fakhrizadeh Nov 28, 2020 04:51 UTC Waziri wa Intelijensia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran italipiza kisasi...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Jiwe lililoanguka kutoka juu ya anga lambadilisha muuza majeneza kuwa milionea CHANZO CHA PICHA,JOSUA HUTAGALUNG Maelezo ya picha, Josua Hutagalung akishikilia jiwe lililoangukia nyumba yake...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwanasheria mkuu wa Marekani William Barr amesema kwamba wizara ya sheria haijapata ushahidi wowote wa kufanyika udanganyifu katika hesabu ya kura kwa uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika 3...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi linatoa wito kwa viongozi wa serikali ya Ethiopia kutoa fursa ya kufika kwenye kambi zinazowahifadhi maelfu ya wakimbizi wa Eritrea ambao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom