Ripoti ya UN: DR Congo ni nchi yenye janga kubwa zaidi la chakula ulimwenguni

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
2,773
2,000
Kwa mujibu wa Ripoti iliyotolewa na UN, takriban watu Milioni 22 nchini humo wanakabiliwa na ukosefu wa chakula, ambapo idadi hiyo imeongezeka kutoka Milioni 15.6 ya mwaka 2019

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limesema vita na mlipuko wa CoronaVirus ni miongoni mwa sababu zilizopelekea janga hilo. Pia, kuporomoka kwa uchumi na majanga ya asili ikiwemo mafuriko imechangia

FAO imesema hali ni mbaya zaidi kwa watu wasio na makazi ya kudumu na wale wanaorejea baada ya kukimbia kwasababu wanakosa namna ya kuendesha maisha yao kama ilivyokuwa awali

=====

Nearly 22 million people in the Democratic Republic of Congo are facing acute food insecurity, in a dramatic rise from last year, a UN agency has warned.

“The number of people facing acute food insecurity at crisis or worse levels has dramatically increased – from 15.6 million in 2019 to 21.8 million,” the UN’s Food and Agriculture Organisation says in a report.

The organisation says conflict and effects of Covid-19 pandemic, which have affected food prices and livelihoods, have worsened the problem.

“These factors are exacerbating humanitarian needs and the country is now the world’s largest food crisis,” the report says.

The organisation also cites "an economic decline linked to currency depreciation and drop in GDP growth and natural hazards", such as flooding, as contributing to the crisis,

Most of the people affected by the problem are in North and South Kivu, lturi and Kasai Central provinces, according to the FAO.

The UN agency says the situation is particularly difficult for internally displaced people and returnees “who often return to their area of origin and find themselves without the means to resume their livelihood”.

The FAO warns that with the acute hunger, any further disruption of food supply chains will only worsen human suffering and hamper efforts to address the problem.
 

mwanateknolojia

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
839
1,000
Hiyo sasa ndo fursa kwa wakulima wetu! Badala ya kukaa tunakopa mazao si bora tuwataftie soko huko?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom