Chanzo: www.trt.net.tr
Wanajeshi 4 wa China wadaiwa kufariki kwenye mapigano ya mpaka wa India mwaka 2020
Wanajeshi 4 wa China wameripotiwa kufariki mwaka jana kwenye mzozo wa mpaka wa India...
Maandamano yaendelea ndani ya Israel; Netanyahu ayafumbia macho na kuendeleza siasa za chuki dhidi ya Iran.
Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel...
Iran: Vikwazo visipoondolewa katika miezi 3 ijayo tutaondoa kamera za ukaguzi za IAEA
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) amesema kuhusu mapatano...
Baada ya kusubiriwa kwa miaka miwili, hatimaye ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani kuhusu kuuawa kwa Jamal Khashoggi imeachiwa siku ya Ijumaa ikionesha kuhusika kwa uongozi wa Saudi Arabia...
Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa...
Nchi za EU wanafikiria kuanzisha mpanga wa covid vaccine passport miongoni mwa nchi wanachama. Hii ni moja ya mkakati wa kukabiliana na covid 19 miongoni mwa raia wao wanaposafiri. TUTAELEWANA TU...
Mtandao wa Twitter umepanga kuongeza kipengelea cha kulipia cha Super Followers, ambapo mtu anayeweka maudhui atawatoza followers wake ili waweze kusoma.
Twitter haijataja kiwango cha fedha ambao...
Prince Philip ndiye mwana familia ya kifalme mwenye umri mkubwa zaidi. Akiwa na miaka 99 anategemea kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa mwezi Juni mwaka huu. Hali ya afya yake imekuwa tete na...
Australia ilipitisha sheria ya kutaka mitandao ya kijamii iwalipe wanaoweka maudhui katika mitandao hiyo
Baada ya kupitishwa kwa sheria hiyo, Facebook imetangaza kuingia makubaliano ya kuyalipa...
Africa is the second most populous continent in the world; more than 1.1 billion people live in this large continent. It hosts a large diversity of ethnicities, languages and cultures. Africa has...
Kampuni ya Chanjo ya #COVID19 ya Marekani, Moderna imekadiria kuwa na mauzo ya Dola za kimarekani bilioni 18.4 sawa na Takribani Tsh. Trilioni 41.8 kwa mwaka 2021
Fedha hizi ni zaidi ya zile...
Kampuni ya Marekani ya Moderna inayo tengeneza chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 inasema iko tayari kufanya majaribio ya chanjo dhidi ya virusi vipya vya corona.
Chanjo hiyo ya majaribio iliyo...
Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake
WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100...
Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa...
(CNN)-Tax records that former President Donald Trump tried to keep secret for years are now in the hands of the New York district attorney.
Prosecutors obtained the records on Monday, just hours...
Baada ya Prince Harry na mke wake Meghan kuihakikishia familia ya Kifalme kuwa hawatarajii kurudi Uingereza na kuendelea na kazi za Kifalme. Moja ya majukumu ya Harry ilikua mlezi wa mchezo wa...
Baada ya kubwagwa Trump; Iran na Korea Kusini zafikia makubaliano ya kuhamishiana fedha za kigeni
Feb 22, 2021 14:06 UTC
Gavana wa Benki Kuu ya Iran na balozi wa Korea Kusini hapa Tehran...
Of course habari zao za kesi za kusafirisha madawa ndizo tunazozisikiaga ila amini usiamini hawa ni idadi ndogo sana, ila ni vile tu ndio habari pekee ambazo wengi huzisikia.
Aisee hawa viumbe...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameuomba Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusiana na mauaji ya balozi wake nchini DRC katika shambulizi la kushtukiza.
Mwana Diplomasia Luca Attanasio, mwenye...
Maafisa wa afya nchini Marekani wameripoti kuwa, barakoa bandia milioni 11 zimenaswa nchini humo sambamba na nchi hiyo kuendelea kukabiliwa na uhaba mkubwa wa barakoa.
Wizara ya Usalama wa Ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.