Australia: Facebook yakubali kuyalipa makampuni matatu ya habari

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Australia ilipitisha sheria ya kutaka mitandao ya kijamii iwalipe wanaoweka maudhui katika mitandao hiyo

Baada ya kupitishwa kwa sheria hiyo, Facebook imetangaza kuingia makubaliano ya kuyalipa makampuni matatu ya habari ambayo yanachapisha habari zake Facebook

Ndani ya siku 60 zijazo mikataba itakamilishwa. Facebook imesema hii italeta picha mpya kwenye ulimwengu wa habari

===

CANBERRA, Australia (AP) — Facebook announced on Friday preliminary agreements with three Australian publishers, a day after the Parliament passed a law that would make the digital giants pay for news.

Facebook said letters of intent had been signed with independent news organizations Private Media, Schwartz Media and Solstice Media.

The commercial agreements are subject to the signing of full agreements within the next 60 days, a Facebook statement said.

“These agreements will bring a new slate of premium journalism, including some previously paywalled content, to Facebook,” the statement said.
 
Inabidi na huku TZ TISS wampenyezee mkuu huu mchongo. Mambo mazuri tuwe tunaigaa
 
Safi sana hii mitandao inaingiza pesa nyingi Sana wakati habari zinachapishwa tu na members wa hiyo mitandao na hiyo mitandao inatumia hiyo nafasi Kama chance yakupata wafuatiliaji wengi kwa kutumia ushawishi wa hizo habari zinazowekwa humo
 
Safi sana hii mitandao inaingiza pesa nyingi Sana wakati habari zinachapishwa tu na members wa hiyo mitandao na hiyo mitandao inatumia hiyo nafasi Kama chance yakupata wafuatiliaji wengi kwa kutumia ushawishi wa hizo habari zinazowekwa humo
Unaweza kuniambia Facebook inaingizaje mapato yake kwa sentensi tatu?
 
Back
Top Bottom