kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,991
- 17,890
Kumbe IRAN walivyosema wapo kwenye mchakato wa kutengeneza hypersonic missile hawatanii ni muda si mrefu wanaenda kutest
Pia tayari kitambo tu RamJet Engine tena ni vijana wadogo tu huko Iran wameziunda hizi Engine za kisasa
Halafu wahuni tayari wameiacha dunia wazi baada ya kuunda MGT-75 turbo Engine mass
Tunajua Iran alivyokua anateseka na suala la Engine na vikwazo akawekewa sahivi anaunda zake mwenyewe hawa jamaa wananifurahisha sana huwa hawalazi damu au kukata tamaa
Sote tunajua kuwa Iran ana makombora ya Sejil 2 yanayopiga karibia kilometer 3000 hivi naskia washaunda Sejil 3
Sejili 3 itakua inapiga kilometres hadi 5500 ambapo hapo ni tayari ni kombora la mabara la kupiga kutoka bara moja kwenda jengine yaani Inter-continental ballistic missile
Haya makombora ya mabara ni balaa jengine sasa haya ya hypersonic ndo yataifanya Iran kuwa miongoni mwa nchi chache duniani zenye haya makombora ambazo ni nchi nne tu hadi sasa ambazo ni URUSI, UCHINA, KOREA YA KASKAZINI NA MAREKANI ambayo hata kumiliki makombora hayo bado ni utata kama wanayo japo wapo mbali kiteknolojia lakini wachambuzi wengi wa masuala ya kijeshi wanaamini kwamba Washington katika suala la hypersonic missile wanadanganya au kufake mambo.....
Kwa uwezo huu Israel anatoa wapi uwezo wa kuligusa dola kubwa na la kibabe kama Iran?
View attachment 1988378