Trump: Israel ilikua ndiye mmiliki halisi wa Congress ya Marekani

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,990
17,879
Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameeleza hadharani jinsi Wazayuni walivyolihodhi na kulidhbiti bunge la nchi hiyo la Kongresi na kubainisha kwamba kwa muda wa muongo mmoja uliopita, Israel ilikuwa ndiye mmiliki halisi wa Kongresi ya Marekani.

Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel, Trump, ambaye wakati alipokuwa Ikulu ya White House alizitia kwenye misukosuko na changamoto kali sera za nje za nchi yake kutokana na uungaji mkono wake wa kibubusa kwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika jumuiya za kimataifa na eneo la Asia Magharibi, sasa anaungama kwa kuchelewa, ili kujaribu kulitangaza tena jina lake katika uga wa siasa.

Katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni na stesheni moja ya redio ndani ya Marekani na katika mwendelezo wa kauli zake zenye migongano Trump alisema: "mabadiliko makubwa niliyoyaona katika Kongresi ni kwamba, kwa miaka 10 hadi 15 nyuma, Israel ilikuwa, kwa maana halisi, imeidhibiti Kongresi na ilikuwa na nguvu kubwa. Lakini leo, hali iko takribani kinyume chake."

[https://media]Ilhan Omar (kulia) na Alexandria Ocasio-Cortez

Ameongeza kuwa, hivi sasa ndani ya bunge la Marekani kuna wawakilishi kama Ilhan Omar na Alexandria Ocasio-Cortez ambao wanaichukia sana Israel.

Kwa mujibu wa rais huyo aliyetangulia wa Marekani, wabunge hao wanaidhibiti Kongresi; na Israel haina nguvu tena.

Trump ametoa matamshi hayo wakati katika kipindi cha mwishoni mwa urais wake, alichukua hatua kubwa kuhakikisha nchi za Kiarabu na Kiislamu zinaanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

4by7001403d0831ysis_800C450.jpg
 
Elimu ya madrsa

View attachment 1995742
 
Kwa mujibu wa gazeti la The Times of Israel,

Trump kasema wapi??

#achaukorofi 😂😂
 
Marekani haina mwenyewe
 
Back
Top Bottom