Ethiopia kuna vitu vya kujitafakari ila imechelewa kwa sababu fundisho ilolipata sasa ndio saratani ambayo nchi za afrika na sehemu nyingi kuanza kujitokeza.
sijui kuna uzi gani !
kama
* "...
Na Pili Mwinyi
Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie...
A toxic haze has blanketed the streets of Delhi since the festival of Diwali
Authorities in the Indian capital, Delhi, have shut all schools and colleges indefinitely amid the worsening levels of...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021
Maelfu wamefariki...
LONDON — Drugmaker Pfizer Inc. has signed a deal with a U.N.-backed group to allow other manufacturers to make its experimental Covid-19 pill, a move that could make the treatment available to...
Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata...
Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka...
Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China...
Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo.
Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy...
Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba wenye lengo la kumaliza miaka kadhaa ya...
Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU.
Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema...
Idadi ya waliouawa tangu jeshi kuchukuwa tena madaraka nchini Sudan imefikia watu 23 kufuatia wengine wanane kupoteza maisha ndani ya siku tatu zilizopita, huku raia wakiendelea kuandamana...
Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo
Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia...
JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza...
Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani.
===
Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead.
Mr Dangote...
Wakuu salaam! Mara ya mwisho mwaka jana huyu mtoto wa pili wa marehemu Col. Muamar Gadaffi nilisikia amefutiwa hukumu yake ya kifo kule Libya, baadaye ikasemekana alitolewa gerezani lakini bado...
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu...
Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo.
Mamlaka zimekuwa na...
Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan...