Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata...
Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo...
Habari ndio hio ndege za Iran zimeshambulia Base za USA huko Gulf pamoja na Iraq, na pia Iran wameangusha ndege ya kivita ya America.
https://youtu.be/pW3xa3eZuU4?si=Mbimlwbq4v-rRN4k...
Baada ya Babu Ali 'kupotezwa', ni nani anayetowa kamandi za 'makamanda' wa iliyokuwa IRGC kurusha zile 'penseli'?
Au 'makamanda' wamekuwa kama wanamgambo wa Hamas na Hesbollah?
Mfano nani saii...
Mmoja anatumia nguvu mia akili kisoda mwingine anatumia nguvu kisoda akili mia
Israel na Marekani anatumia akili kubwa na nguvu kidogo matokeo makubwa.
Mpaka sasa vifo vingi ni Iran lakini...
Iraq imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, kwa mujibu wa Shirika la Habari la Iraq (INA).
“Kwa huzuni na masikitiko...
Rais Trump wa Marekani: "Nimepokea taarifa muhimu za kijasusi zinazoonyesha kwamba Iran inarejesha tena uwezo wake wa nyuklia - Marekani na Israel zinafuatilia kwa karibu vitendo hivi. Iwapo Iran...
Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe.
Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika...
Niaje waungwana
Waungwana wenzangu, najua kuna watu wanajiuliza kwamba inawezekanaje mimi nimshauri mtu jeuri kama Benjamin Netanyahu aende akaonane na mtu kiburi kama Ayatollah Khamenei ambae ni...
Niaje waungwana
Mimi ni miongoni mwa watu wachache wenye uwezo wa kuongea ukweli, hata kama ukweli huo utakubaliwa na wachache na kukataliwa na wengi.
Kwa wakongwe wa jukwaa hili la mambo ya...
Wakati Serikali ya Iran ilipozima intaneti na kuanza kuwamiminia risasi wananchi wa Iran waliokuwa wakidai haki zao, tukio hili halkupewa uzito, waliofyatliwa risasi walilaaniwa na hata...
Hiyo dini ilikua imewatesa sana, Israel imewakomboa.
End of an era as Iran confirms Khamenei is dead; Trump: Justice for Iranians and beyond
Iranians brave the streets to celebrate; US president...
Hawa jamaa hatunao tena hapa Duniyani. Wameenda akhera. Walikuwa wakionesha ukubwa wa irani na silaha za hatari. Wakati huo wapinzani wao wanawalia tu timing.
Nikakumbuka na vita ya Ukraine na...
Ni chini ya masaa 12 tangu mashambulizi yaanze mida ya saa tatu na nusu kwa saa za Afrika mashariki, Ayatollah na viongozi wakubwa wa Jeshi wameuawa.
Habari hizo zilianza kama tetesi mida ya...
Nimeipenda sana hii Kauli ya huyu Mchambuzi wa Aljazeera aliposema namnukuu.... Israel inajua wapi wapige, muda wa kupiga na huwa haikurupuki katika Oparesheni zake zote.... mwisho wa Kumnukuu...
Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimeripoti kwamba binti yake Khamenei, mkwe wake wa kiume, mjukuu wake na mkwe wake wa kike wameuawa. Kwa mujibu wa taarifa za awali, vifo hivyo vinadaiwa...
TAARIFA MPYA: Maafisa wa Israel wamesema jeshi linajaribu kuangusha utawala wa Iran kwamba linalenga viongozi wote wa Iran wa kisiasa na kijeshi wa zamani, wa sasa, na wa baadaye,’ kwa mujibu wa...