Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema serikali imejikita katika “ulinzi” kufuatia jitihada za mazungumzo zilizofanyika awali.
Msemaji wa wizara hiyo, Esmaeil Baghaei, amesema:
“Aibu ya milele...
Msenegali Muslim kavaa hoody ''property of Allah'' na kuanza kushoot watu USA.
Investigators are probing the deadly shooting on Austin’s Sixth Street, which left three dead and 14 injured...
Katika saa za mapema za Jumamosi asubuhi wakati wa mfungo wa Ramadhani, huku sehemu kubwa ya Tehran ikiwa bado kimya, makombora ya Israeli na Amerika yalikuwa tayari yamerushwa angani. Ndani ya...
Baada ya jana magaidi wa Hezboullah kuamua kuingia vitani na Israel ili kumlinda na kumtetea bwana wao Iran, wananchi wa Lebanon wameamua kuuhama mji wa Beirut na kukimbilia miji ya mbali na...
Social media platforms were set abuzz on Tuesday as loved-up video clips of Senior Pastor of The Masters Place International Church, Pastor Korede Komaiya, and his wife, Dr Esther Komaiya, went...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah...
Ikulu ya Marekani (White House) imetoa sehemu ya orodha ya makosa yaliyodaiwa kufanywa dhidi ya Wamarekani na utawala wa Iran (1/2):
Novemba 1979: Wanafunzi wa Iran walioungwa mkono na utawala...
Rwanda imekosoa vikwazo vilivyowekwa na Marekani, ikiviita hatua hizo kuwa zisizo za haki na zenye upande mmoja huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kuhusu mzozo mashariki mwa Jamhuri ya...
Serikali ya Marekani, kupitia Idara ya Hazina (OFAC), imetangaza vikwazo vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) pamoja na maafisa wake wakuu wanne. Hatua hii imekuja baada ya Rwanda...
Kiongozi Mkuu wa Iran ameuwawa katika mashambulizi ya Israel na Marekani, vyombo vya habari vya serikali ya Iran vimesema.
Serikali ya Iran imetangaza siku 40 za msiba wa taifa baada ya kifo cha...
Now that Iran Supreme leader
and arch enemy of Israel is gone. Attention is said to be turning toward what is considered the remaining major adversary — Tayyip Erdoğan — and plans are allegedly...
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amejitokeza hadharani kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mzozo wa Iran na Israel, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali.
Picha za runinga ya...
Ripoti za kituo cha televisheni cha Israeli Channel 12 zimeripoti kuwa kuna takwimu zinazoongezeka kwamba Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, anaweza kuwa ameshapoteza uhai baada ya...
Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, umeshambuliwa na ndege mbili zisizo na rubani na kusababisha moto mdogo katika eneo la makazi ya kidiplomasia, kwa mujibu wa Wizara ya...
Ubalozi wa Marekani mjini Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia, umeshambuliwa kwa ndege mbili zisizo na rubani (drones) na kusababisha moto mdogo kuzuka katika eneo hilo la kidiplomasia, Wizara ya...
MAANDALIZI YA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA EAC YAANZA JIJINI ARUSHA
Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini...
Nilivyokua nawaambia muajemi sio muarabu muwe mnaelewa, Toka jumamosi nilichagua kukaa kimya maana nilijua kabisa kuwa time will Tell.
Mmejionea wenyewe ubabe Wa Iran
Jamaa wanapiga kila mahali...
Vita ya mwaka jana, siku ta 12 Trump alipopata taarifa Israel inaenda kumtandika Ayatollah, alinyanyua simu na kumbembeleza Netanyahu wageuze ndege vitaa iishe.
Muda huo taari Israel walikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.