International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vyama vya wafanyakazi Nchini humo vimefanya mgomo vikitaka Rais Gotabaya Rajapaksa pamoja na Serikali kujiuzulu. Mgomo huo umesababisha Shule na Biashara kufungwa, pia umeathiri usafiri Mgomo huo...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000. Mwandishi...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Wabunge wa Somalia wamemchagua spika mpya leo Alhamisi Aprili 28, 2022 huku kukiwepo hali ya mivutano kati ya wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika AU dhidi ya Polisi. Mivutano hiyo...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Madaktari Nchini Sri Lanka wamesema watafanya maandamano katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Colombo kutokana na Hospitali kuishiwa Dawa muhimu kwasababu ya mgogoro mbaya zaidi wa kiuchumi kutokea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mawaziri wa nishati wanaishauri Norway kuongeza uzalishaji wa gas na mafuta ili kuziba pengo la gas na mafuta kutoka Urusi. Bulgaria na Poland wanategemea kiasi kikubwa cha nishati kutoka Urusi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Baadhi ya bidha za Marekani zinazotamba ulimwenguni. . Iphone, Apple Computers, Ndege za Boeing, IBM, Intel, Microsoft, Facebook, Whatsapp, Coca-cola, PepsiCola, Colgate, Haya ukitoa gas na...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Dunia kadili siku zinavokwenda inafikirisha sana. Vita ni siri. Kumiliki silaha ambayo ikimdhuru adui ushindi unapikana ni jambo LA Muhimu. Na ni muhimu zaidi adui akiwa hajui ukweli wrote...
2 Reactions
0 Replies
563 Views
Zaidi ya watoto milioni 10 ni miongoni mwa wale wanaokabiliwa na ukame mkali katika Pembe ya Afrika.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, Unicef, linakadiria kuwa idadi hii ni milioni...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi...
27 Reactions
176 Replies
11K Views
Mama aliye kwenye matibabu akitenganishwa na mtoto wake kutokana na kupata maambukizi ya Ebola Dozi 200 za chanjo ya Ebola zimepelekwa Nchini DR Congo na nyingine zinatarajiwa kupelekwa katika...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Jeshi la Ardhini la Israel limefanya mashambulizi nchini Lebanon kwa kutumia Arterrary baada ya Roketi moja kuvurumishwa kutoka nchini Lebanon na kuangukia sehemu ya wazi kwenye mpaka wa Nchi Hizo...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Jeshi la Anga la Israel linasemakana kufanya mashambulizi makali nchini Syria katika viunga Vya mji mkuu, Damascus. Shirika la Kuangalia haki za Binadamu nchini Syria linasema kuwa,Zaidi ya...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Juu ya Mlima Entoto, ulioko takriban kilomita 20 kaskazini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, Kituo cha Utafiti wa Anga ya Juu cha Entoto kinavutia macho sana. Mafundi wa China na Ethiopia...
3 Reactions
4 Replies
740 Views
Nilichogundua hoja za vita ya Russia na Ukraine kwa Tanzania hatuna watu wengi wajuzi wa siasa za kimataifa wala upinzani wanaweza local politics tu. Huoni Tundu Lissu au Mbowe wala Godbless...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amezishutumu nchi za Magharibi kwa woga, wakati ambapo nchi yake inapambana kuzuia uvamizi wa Urusi. Akilihutubia taifa jana usiku baada ya Rais wa Marekani...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ukraine ni Taifa kubwa kwa eneo uk ilinganisha na mataifa mengine ndani ya Ulaya, Ispokuwa Urusi ambayo Nusu ni Ulaya na Nusu ni Asia, Ukraine ni nchi miongoni Mwa zenye wasichana warembo zaid...
10 Reactions
199 Replies
26K Views
Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Baada ya figisu figisu za muda mfupi kumzuia mkurugenzi mkuu wa kampuni ya space X na mtu tajiri zaidi duniani kwa paper assets bwana Elon Musk hatimaye amefanikiwa kuununua mtandao wa twitter...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…