Nilichogundua hoja za vita ya Russia na Ukraine, sisi Tanzania hatuna wajuzi wa siasa za kimataifa wa vyama vya upinzani. Hawajatamka chochote

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Nilichogundua hoja za vita ya Russia na Ukraine kwa Tanzania hatuna watu wengi wajuzi wa siasa za kimataifa wala upinzani wanaweza local politics tu.

Huoni Tundu Lissu au Mbowe wala Godbless Lema na Zitto Kabwe wakidadavua chochote kuhusu mgogoro wa Urusi na Ukraine na kutoa msimamo ! Kulikoni?

Nilichogundua wanaweza tu siasa za hivyohivyo zisizoeleweka za ndani ya nchi za nje hawaziwezi jambo wana idara za nje za vyama vyao
 
... kwenye hili sakata la Russia vs Ukraine ulikuwa unaenda vizuri kwa akili sana la naona ujinga umeanza tena kukurudia kwa kasi.
Sio kesi naomba tamko la la waongeaji sana wa upinzani Naomba Kauli ya wafuatao mona Tundu Lissu pili Zitto Kabwe tatu Freeman Mbowe nne Godbless Lema

Wengine nataka tamko lao waongeaji sana ni Maria Salungi na Generali Ulimwengu .watoe msimamo

Comments zao siasa za ndani tumeshawasikia hadi masikio yamechoka tunaomba comments zao kwenye hili la vita ya Ukraine na Urusi.
 
Hata mimi nilianza kumpa credit, amekula sana LIKES zangu ktk kila post inayohusiana na mzozo huu, kwa hiki cha leo amenifanya nimtafakari upya.
 
Nilichogundua hoja za vita ya Russia na Ukraine kwa Tanzania hatuna watu wengi wajuzi wa siasa za kimataifa wala upinzani wanaweza local politics tu.

Huoni Tundu Lissu au Mbowe wala Godbless Lema na Zitto Kabwe wakidadavua chochote kuhusu mgogoro wa Urusi na Ukraine na kutoa msimamo ! Kulikoni?

Nilichogundua wanaweza tu siasa za hivyohivyo zisizoeleweka za ndani ya nchi za nje hawaziwezi jambo wana idara za nje za vyama vyao
Wapo njia panda.
 
Haina maana maana udadavuzi wao haoni effect kwenye huu mgogoro. shivji alishadadavua
 
Sio kesi naomba tamko la la waongeaji sana wa upinzani Naomba Kauli ya wafuatao mona Tundu Lissu pili Zitto Kabwe tatu Freeman Mbowe nne Godbless Lema

Wengine nataka tamko lao waongeaji sana ni Maria Salungi na Generali Ulimwengu .watoe msimamo

Comments zao siasa za ndani tumeshawasikia hadi masikio yamechoka tunaomba comments zao kwenye hili la vita ya Ukraine na Urusi.
Kwa bw.Ulimwengu namwaminia!
 
Sasa kama wewe mkuu ndo unatoaga point mbovu kabisa kwenye huu mgogoro, si bora walo nyamaza kuliko kueneza ujinga kwamba Ukraine atashinda hii vita.
Ni maoni tu.
 
Swala la Ukraine na Russia sio ya kumlaumu mtu kwa sababu tunaona hata serikali yenyewe imeshindwa kulaani uvamizi na hata kushindwa kupiga kura dhidi ya Russia na badala yake imeamua kutokupiga kura na kujidai kubaki "Neutral."

Sasa kwa huo unafiki unayofanywa na serikali mtu anakuwa na ujasiri gani wa kuulaumu upinzani kwa ukimya wao kuhusu uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine.
 
Hata mimi nilianza kumpa credit, amekula sana LIKES zangu ktk kila post inayohusiana na mzozo huu, kwa hiki cha leo amenifanya nimtafakari upya.
Sitafuti likes please.Nitue na unikome.I am not that cheap

Nataka comments za viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania kuhusu vita ya Ukraine na Russia akina Lisu na Zitto kabwe na Lema na na hao wajitia mahiri kudadavua siasa za Tanzania akina Generali Ulimwengu na Maria Sarungi wako wapi msimamo Maria Space or whatever and whoever
Mimi niko na Ukraine
 
Swala la Ukraine na Russia sio ya kumlaumu mtu kwa sababu tunaona hata serikali yenyewe imeshindwa kulaani uvamizi na hata kushindwa kupiga kura dhidi ya Russia na badala yake imeamua kutokupiga kura na kujidai kubaki "Neutral."

Sasa kwa huo unafiki unayofanywa na serikali mtu anakuwa na ujasiri gani wa kuulaumu upinzani kwa ukimya wao kuhusu uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine.
Walau Serikali ya CCM imetoa tamko la kuwa neutral upinzani akina Lisu,Zitto Kabwe akina Godbless Lema na wanaharakati akina Generali Ulimwengu na Ex wife wake Maria Sarungi wa Maria space tamko lao kuhusu hiyo vita ya Ukraine na Urusi wanasemaje? Wako upande gani?
 
Hata mimi nilianza kumpa credit, amekula sana LIKES zangu ktk kila post inayohusiana na mzozo huu, kwa hiki cha leo amenifanya nimtafakari upya.
Post zangu huwa sitafuti likes .
I am not that cheap Sigombei ubunge wala cheo kupitia jamiiforums

Hakuna cheo cha viti maalumu Vya Jamii forums!!

Siandiki kutafuta likes!

Popote uliweka likes post zangu futa
 
Kama taifa tumechagua kutoegemea upande wowote, kwa maslahi mapana ya nchi yetu changa.
 
Usione kukaa kimya ni wapumbavu, vita ya kwanza na ya pili ya dunia ilianza hivihivi. Ni ugomvi baina ya mataifa mawili, matokeo kila mshirika akawa upande wa mwenzake. Kilichotokea sasa vita ilipoanza ikawa ni samaki mmoja akioza ni wote. Wakahusishwa na vita.

Ilipoisha vita ya pili, baadaye kukaanza kuonekana mzozo wa Urusi na Marekani ndiyo watu wakajihami kwa kuanzisha NAM wasifungamane na kokote ili kama ikitokea vita isiwahusu. Maana zilizopita kujifanya unaunga mkono pande yeyote walihusishwa ns kushambuliwa. Mfano Marekani visiwa vya Hawaii vilipigwa bomu na Japan, akaenda kulipiza kwa kuangusha mizigo Hiroshima na Nagasaki.

Wanasiasa kukaa kimya usiwaone ni wapumbavu, msimamo wa nchi ni tayari kutoingilia upande wwowote hadi UN waligoma kuoiga kura. Wanajua wakikosea ikatokea vita basi itatuhusu pia.

Hatuna uhasama na Urusi na hatuna uhasama na Marekani, kote tuna mahusiano mazuri nao. Huko kujitis unafiki watie kauli wakati hata huyo mkubwa anayeulaani uvamizi huu alishawahi kujaribu kuufanya ila alipigwa. Ni unafiki wa kiwango cha juu.
 
Watoe tamko kwani wao ni serikali, iambie serikali ya chama chako ilaani uvamizi wa dikteta Putina badala ya kujifanya nyutro kwa sababu nchi hii ina historia ya kuvamiwa na taifa jirani chini ya Iddi Amin.

Back
Top Bottom