International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB imefungua mikutano yake ya mwaka 2022 huko Accra, Ghana ikihudhuriwa na viongozi, wanasiasa na wanateknolojia wa Afrika. Rais Nana Addo Dankwa wa Ghana kwenye...
0 Reactions
0 Replies
533 Views
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuiba Nafaka Nchini humo ikisema kitendo hicho kinaongeza tishio la hali ya Chakula Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje imedai Urusi inaiba mazao kutoka kwa Wakulima...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Vladimir Putin would find it difficult to justify such an action against a brother country. This is how he describes Ukraine. Putin is already having trouble justifying this war to his people...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Wengi wamekimbilia mataifa majirani na kwingine, japo wametumia mgongo wa kwamba wanakwenda kufanya kazi ila Urusi hakukaliki, taifa linapitia hali ngumu na ndio mwanzo tu.... FSB wameanza kutisha...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Mahakama nchini Misri imemhukumu tajiri wa vyombo vya habari kifungo cha miaka mitatu jela kwa kuhusika katika biashara haramu ya binadamu na kuwanyanyasa kingono mabinti wenye umri mdogo katika...
0 Reactions
3 Replies
790 Views
Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia...
12 Reactions
56 Replies
5K Views
Shirika la Kuwahudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limedai kuwa mataifa tajiri Duniani yanahatarisha maisha ya watoto kutokana na uzalishaji mkubwa wa gesi za sumu zinazoathiri afya zao...
0 Reactions
1 Replies
763 Views
Kenya na Uganda zinatarajiwa kuanza kufanya shughuli za uuzaji wa pamoja ili kuvutia watalii kutoka nje. Akiongea kwenye uzinduzi wa maonesho ya barabarani yaliyoandaliwa na Bodi ya Utalii ya...
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ameelezea aibu iliyolikumba kanisa hilo pamoja na yeye mwenyewe kutokana na kiwango cha unyanyasaji wa kingono dhidi ya watoto uliofanywa na...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
How do I fill in the blanks? A new weaponised strain of monkeypox is found in Brittania UK and quickly spreads to the rest of the world.!!!Queer,isn't.Welcome to 2022!! Experts have recently...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Uingereza imekumbwa na maambukizi mapya ya Virusi vya monkeypox kwa watu 36 kubainika kuwa na maambukizi hayo, hivyo jumla ya watu ndani ya muda mfupi walioambukizwa imefikia 57. Takwimu hizo ni...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao...
2 Reactions
1 Replies
920 Views
Inakuwaje wanajamvi! Mwana wa mfalme wa Saudi Arabia defacto ruler Mohammed Bin Salman (Strong man) anapanga kufanya ziara za kimataifa karibuni. Nchi atakazozuru ni Turkey, Greece, Cyprus...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu. Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili; Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkutano wa kilele wa tembo umefunguliwa jana Jumatatu katika mbuga ya wanyamapori ya taifa ya Hwange nchini Zimbabwe, ambapo nchi zinazoshiriki zimetaka kufikia makubaliano kuhusu usimamizi wa...
1 Reactions
2 Replies
631 Views
Takwimu zilizotolewa karibuni na Shirika la Afya Duniani (WHO) zimeonesha kuwa, kuanzia tarehe 13 mwezi Mei, nchi 12 zimeripoti kesi 92 zilizothibitishwa za maambukizi ya virusi vya monkeypox, na...
0 Reactions
1 Replies
573 Views
Uongozi wa Taliban umeagiza watangazaji wote wa kike katika vituo vya runinga Nchini Afghanistan wanatakiwa kuziba sura zao wanapokuwa wakitangaza. Vyombo vya habari vimekiri kupokea maagizo hayo...
2 Reactions
88 Replies
5K Views
Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!! Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…