"Anyway, this is a NATO war against Russia..." ameyasema hayo mwanahabari na mwanahistoria Angelo D'Orsi kuhusu mgogoro unaoendelea Ukraine.
Akizungumza na Italian TV, mwandishi huyo pia...
Zelensky amesema kwa hali ya mambo yanavyoendelea nchini Ukraine inalazimika Ukraine ikubaliane na hali halisi halisia na izungumze na Putin. Amesema kuzungumza na Putin ndio njia pekee inayoweza...
Hivi sasa China imekumbwa na wimbi jipya la janga la COVID-19, hususan huko Shanghai, ambapo kesi za maambukizi ya virusi ni nyingi. Ili kulinda maisha ya watu, China imechukua hatua mbalimbali...
Gazeti la DIE ZEIT nchini ujerumani limeripoti kwamba mamlaka ya serikali ya habari kwa umma (German press agency) imesema kwamba wanachama wa NATO walikubaliana kutokuwapa Ukraine vifaru na ndege...
Jamaa wameketi ofisini kazi yao kubonyeza bonyeza na kuondosha vifaru utadhani video game, Waafrika tumejiandaaje kwenye utaalam kama huu au bora liende tu.
Halafu tatizo hizi drone sio rahisi...
Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri...
Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro...
Mataifa yametakiwa kuchukua hatua za haraka kudhibiti maambukizi ya Ugonjwa huo. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kanuni sahihi zikiwekwa kuanzia sasa, kuna nafasi nzuri ya kukabiliana na...
Baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatulia risasi Texas, Marekani, viongozi mbalimbali Duniani wameomboleza vifo hivyo wakiongozwa na Papa Francis ambaye amesema amesikitishwa na mauaji...
Huko Urusi Baada ya kampuni ya Coca cola kusitisha uzalishaji nchini Russia kupinga uvamizi wa Russia nchini ukraine.
Sasa Warusi wamevichukua Viwanda vya Coca Cola Vilivyoko na kuendelea na...
Mei 25, 2022, huko Putumayo, Colombia, trampoline ya kifo ni moja ya barabara hatari zaidi duniani, inaanzia kutoka Mocoa hadi San Francisco na ilijengwa mwaka 1930. Watu wengi walikufa wakiwa...
Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu.
Kwenye...
Mwakilishi wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun jana aliilaumu Marekani kwa kushindwa kutimiza wajibu wake ikiwa kama kiongozi wa Baraza la Usalama anayeshughulikia vikwazo vya...
Serikali za China na Tanzania jana Alhamis zilisaini mpango mpya wa 2022-2025 wa utekelezaji wa makubaliano ya kiutamaduni unaolenga kuimarisha ushirikiano wa pande mbili kwenye nyanja mbalimbali...
Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa...
Mvulana wa Nepali Dor Bahadur Khapang mwenye umri wa miaka 17 ana urefu wa sentimita 70 na amethibitishwa na kumbukumbu za Guinness kuwa mtu mfupi zaidi duniani.
Shujaa na Mbabe wa kivita, mchecheni Kadyrov, kawaeleza Poland kuwa ni bora wachukue silaha zao Ukraine ili wazitumie kujilinda wao wenyewe, na wachukue wapiganaji waliowapeleka Ukraine na kisha...
Oleksii Yanin ni mwanamasumbwi wa mtindo wa kurusha mateke ambaye alifariki huko Mariupol mnamo tarehe 6 April akiwa katika kikosi maalum cha Azov
Mwanasumbwi huyo ameacha mke mmoja bi Tamara na...
Marekani inaripoti kuwa afisa wa jeshi mwandamizi (wa ngazi za juu) wa Ukraine amekiri wakati akitoa ripoti ya maendeleo ya vita leo kuwa majeshi ya Russia yenye nguvu zaidi katika mapigano...
Ukiondoa ushabiki wa Marekani na vyombo vyake vya habari wanaowachochea waukraine wapigane kwa niaba yao lakini ukweli unaopatikana katika matamshi ya waukreni wenyewe kuanzia raisi Zelensky...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.