Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni kilogramu 101.2...
Sherehe za Ushindi Roma — “Memento Homo”
Jua lilikuwa juu ya anga la Roma, likimwaga mwanga wa dhahabu juu ya mawe ya barabara na kuta za mji uliokuwa umejaa shangwe. Siku hiyo haikuwa ya...
Mimi ni Mkazi wa Kimara, Barabara yetu imefukuliwa tu lakini tangu miaka ya 64 ya uhuru hadi leo hatujawekewa lami, Wananchi tunateseka sana hasa vipindi vya mvua.
Hiyo ni barabara inayotoka...
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM.
Hapo...
Wizara ya Mambo ya Ndani idara ya Uhamiaji wamekuwa ni kero sana katika uchakataji ya passport za kusafiria kutokutoka mapema na wakati.
...na ukitembelea Ofisi zao kuuliza nini shida hawana...
Hii ilitokea leo usiku ambaop nimechelewa kutoka kwenye mihangaiko yangu ( hua naingia mihangaikoni )
niliingia magetoni kama kawaida, na kila kitu kilikuwa kawaida kabisa. nilikuwa nimechoka...
Leo nakuja tofauti kabisa na nilivozoeleka, naomba sana msaada wa ufafanuzi juu ya hii ndoto niliyoota leo na nimeamka bado imekisonga sana kichwa changu...... kwny uzao upande wa mama yangu...
Huu ni Muonekano wa Barabara ya Mtaa wa Mitawa, Kata ya Tanga, Manispaa ya Songea, Mkoani Ruvuma. Miundombinu ya Barabara hiyo inayotokea Shule ya Msingi Mitawa imeharibiwa Sana na Mvua...
Ofisi ya Idara ya Uhamiaji Mkoani Arusha mnatuumiza sana, pasipoti unaomba Januari unaambiwa usubiri Miezi 5 mpaka 6 sababu foleni ni kubwa.
Mara karatasi za ku-print zimeisha au kuna Maafisa...
Wananchi 1,730 wanaopisha njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 220 kutoka Masasi hadi Mahumbika wanatarajiwa kupewa fidia ya Shilingi Bilioni 5.1 ambazo Serikali imezitenga katika mwaka...
Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji kimoja huko mkoani kwa baba wa taifa.
Siku moja katika matembezi mjini na huyu jamaa yangu, Ghafla...
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume.
Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani...
Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye...
Kero yangu ipo kwa DTO wa Kituo cha Polisi, MBIGILI Mkoa wa IRINGA, amekuwa akikamata Bajaj ovyoovyo na kuwashikilia madereva kwa kuwaweka ndani ya Bajaj zao pamoja na kuweka mikakati migumu ya...
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu...
Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mawe kuporomoka katika Mlima Iyovi Mikumi barabara kuu ya Morogoro - Iringa.
Kutokana na changamoto hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro (RPC), ACP...
Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili...
Nimeona nyuzi nyingi za kipumbavu humu Jf , kuanzia namna ya kukaa na wanawake kwa akili, jinsi ya kufanikiwa kiuchumi na mpaka wengine kujifanya ni life coaches.
Acheni kujisumbua na uo upumbavu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.