Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo Mkoa wa Mara kwa kiwango cha lami, ili kufungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma...
Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia.
Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia
Kuanzia...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko...
Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi.
Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii...
Nimejifunza kwamba kama taifa tuna safari ndefu ya maendeleo. Humu JF 99% ya member ni wasomi wa vyuo vikuu kama mimi. Naweza kusema ndio kinu cha kuchakata maendeleo.
Chakushangaza member...
Mradi wa Kituo cha Kupoozea Umeme cha Mkata wenye thamani ya shilingi bilioni 50 unalenga kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika, kuboresha huduma za nishati kwa wananchi na kuchochea...
Story time...
Baada ya kuwasalimu kwa NRNE.
Tuchangamshe genge kidogo.
***
Miaka miwili ilopita nilikuwa kule kanda ya ziwa KAHAMA MJINI, kiutafutaji.
Nilikuwepo kata ya Nyasubi kimtaa flani...
Habari wana JF 👋🏾
Wahenga walituhusia mengi, lakini kadri muda unavyozidi kwenda mambo yanabadilika.
Moja ya misemo maarufu ni:
“Mtegemea cha ndugu hufa masikini.”
Lakini ukija kwenye uhalisia...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) imetangaza viwango vipya vya nauli kwa mabasi ya masafa marefu, mabasi ya mijini (daladala), teksi mtandao pamoja na pikipiki mtandao.
Tangazo hilo...
Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka.
Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa...
Mbunge wa Nyasa Mkoani Ruvuma, John Nchimbi ameitaka Serikali kuwapanga watumishi wake kulingana na weledi wao, ili kuepusha kuwapanga maeneo yasiyowahusu na hivyo kuzorotesha ufanisi katika kazi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amemuarifu kuwa, Mhe. Rais Dkt. Samia...
Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa.
Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri...
Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu,
Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa...
Miundombinu ya Shule ya Msingi Namahonga iliyopo Kijiji cha Namahonga, Kata ya Maundo, Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara ni mbaya kiasi kwamba wakati wa mvua baadhi ya Wanafunzi wanapewa ruhusa...
Mambo Vijana Tanzania !.
Oooooh sasa hii sio ya kukosa; kikubwa ni mwendo wa kutembea na fursa.
Kwa wale vijana ambao wanajitafuta; hawajui wanaanzaje kutoboa sasa mzigo huu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.