Hotuba ya Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, iliyowasilishwa Leo (tarehe 23 Aprili 2026), inatoa picha halisi, nzito, na ya kusikitisha kuhusu kile kilichotokea wakati na...
Miaka 6 iliyopita nilikuja DSM kutafuta maisha kutoka mkoa fulani nikiwa na elimu ya form 4 tu, basi nikawa napiga mishemishe huku najisomesha nakaa kwa washikaji tu. Hatimae naliaga jiji la Dsm...
Mtazamo wangu ni kuwa Shirika la Posta ndilo shirika lisilojielewa kuliko mashirika yote ya umma, ni vile tu huduma zake mbovu hazionekani kirahisi.
Mimi nipo Dodoma, nina sanduku langu la barua...
Ningeshangaa report iandaliwe na Mzanzibari asimlinde dada yake?
Hivi huku Tanganyika alikosa mzalendo wa kufanya uchunguzi?
Watanganyika waliohudhuria wao ni kupiga makofi pindi ripoti ya tume...
Habari wana JF
Maisha ya mwanadamu yana mapito mengi sana, nakumbuka wakati nikiwa kijana, damu bado inachemka nilikua nagonga vyupa vya kutosha, mchana unasogoea msasani beach club kupiga beer...
Waliruhusiwa machawa wachache ku-comment ili sisi wengine tulipigwa pini tusitoe mawazo yetu wakati Jaji Chande alipokuwa anawasilisha ripoti yake ya mauaji ya MO29.
Kulikoni Ikulu ya Tanzania...
Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika
Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita...
Amisa alisema mara mbili kuwa kilictokea kilifanywa na Wageni ila leo Ndecha wakati nae akitudanganya na kupoteza Kwake muda kwa Siku 153 alizopewa nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho sikumsikia...
Malalamiko yangu kwa vyombo vinavyohusika na usalama wa mitandao nchini hayajatokana na chuki, bali ni matokeo ya uchungu mkubwa ninaouona katika mwelekeo wa maadili ya jamii yetu.
Kwa muda sasa...
Nimegundua hii kauli hutoka zaidi kwa watu ambao hawana hela sana.
Je ni kweli kwamba hela si muhimu sana, au ni njia ya kujifariji tu?
Na kama si kila kitu, basi ni kitu cha ngapi?
Naomba...
Nina siku ya pili napiga simu ya huduma kwa wateja NHIF na haipokelewi hii ni kero kubwa kwani kuwepo kwa huduma hii inatusaidia sisi kwenda kurundikana kwenye ofisi zao.
Napiga namba...
Habari JamiiForums.
Poleni kwa majukumu mnayoyafanya ya kufichua changamoto zilizopo katika jamii na mamlaka husika kuzifanyia kazi changamoto hizo.
Kero yangu ni kwamba, sisi wakazi wa Goba...
Baada ya kuwa chini ya utegemezi wa wazazi na uangalizi baada ya kumaliza chuo ni kama kuku aliyefunguliwa bandani akajitafutie chakula umejipangaje?
Kurudi nyumbani ukapambanie ugali wa wazazi...
Hii inakuhusu Waziri wa mambo ya ndani, Mkuu wa mkoa Manyara, RPC mkoani Manyara.
Kuna baadhi ya Police kama Muhsin, Said na Salum wana tabia ya kupiga makofi na mabuti.
Kuna mwingine anafikia...
Jamaa zangu wa karibu ninaofanya nao biashara wa 3 walikufa October 29 mwaka Jana.
Aisee nasikia uchungu Sana Leo nimetoneshwa kidonda I'm so sorry nimekumbuka mambo mengi Sana ambayo nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.