Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

RUVUMA Wananchi nchini sasa wanaweza kupata na kukamilisha baadhi ya huduma za ardhi kwa urahisi zaidi kupitia mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi, ikiwemo kusaini hati zao bila kulazimika kusafiri hadi...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
HUDUMA ZA ARDHI KIGOMA KUNUFAIKA NA TEKNOLOJIA YA MFUMO WA e-ARDHI KIGOMA Hatua ya Serikali ya kuendelea kuboresha utoaji huduma za ardhi kwa njia za kidijitali imezidi kuimarika baada ya mfumo...
1 Reactions
1 Replies
60 Views
LINDI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendela na mafunzo ya siku nane ya mfumo mpya wa kidijiti wa e-Ardhi mkoani Lindi huku mfumo huo ukielezwa kusaidia watendaji wa sekta ya...
0 Reactions
1 Replies
61 Views
Watuhumiwa 37 wa makosa mbali mbali wamehukumiwa kwenda jela baada ya kupatikana na hatia mkoani Kilimanjaro . Katika Mashauri hayo limo la mtuhumiwa kuhukumiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewataka wajasiriamali wanaoshiriki Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) kutumia fursa ya uwepo wa BRELA kwenye...
0 Reactions
2 Replies
113 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewataka wananchi wa Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara kujitokeza kwa wingi katika Viwanja vya Ngarenaro, Jijini Arusha, ili kupata elimu na...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti...
6 Reactions
17 Replies
325 Views
Mimi ni mdau wa JamiiForums ninayeishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B. Ninaomba kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu vumbi linalosababishwa na ujenzi wa barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Hatimaye Google wameachia update mpya kwa watumiaji wa simu za Google Pixel ili kuondoa changamoto ya kukatika kwa mtandao. Si unakumbuka wiki kadhaa zilizopita tuliposti makala kuhusu changamoto...
1 Reactions
1 Replies
267 Views
Vikosi vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimesema nchi hiyo imezuiwa droni ya Wahouthi karibu na Makka. Vikosi hivyo vya ulinzi wa anga vya Saudi Arabia vimesema viliizuia na kuiharibu droni...
0 Reactions
2 Replies
56 Views
  • Redirect
https://www.jamiiforums.com/threads/jinsi-zimwi-la-mapenzi-kinyume-na-maumbile-linavyo-act-kila-hatua-ya-maisha-yako.2471406/
1 Reactions
– Replies
– Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissi imeahirishwa mpaka ljumaa September 18, 2026 . Ambapo shahidi mmoja wa mshtakiwa DCI Ramadhan Kingai kutarajiwa kuanza kutoa ushahidi...
2 Reactions
2 Replies
142 Views
Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
5 Reactions
30 Replies
562 Views
MKUU wa Majeshi mstaafu nchini Tanzania, Jenerali David Musuguri maarufu โ€˜Chakazaโ€™ au Mtukula, ametimiza umri wa karne moja (miaka 100) tangu alipozaliwa Januari 4, 1920. Hafla ya kuadhimisha...
31 Reactions
179 Replies
37K Views
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli" Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo...
3 Reactions
24 Replies
402 Views
Mitandaoni huko, Kuna tukio lilisambaa likimionesha jamaa, akiingia kwenye duka la nguo na kubeba simu, hakukuwa na mtu wao wanavo dai walikua store. Ebhanaeee kama kawa CCTV camera ikamchora tu...
4 Reactions
1 Replies
99 Views
Leo Trh 6 SEPT 26 TANESCO WAMEENDELEA KUKATA UMEME NGERENGERE BILA TAARIFA YOYOTE.LICHA TA KKUFUNGULIWA BWAWA LA UMEME LA JULIUS NYERERE NGERENGERE IMEENDELEA KUSOTA NA UMEME KIDOG KWA SIKU...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ