Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tigopesa haifanyi kazi karibu kutwa nzima ya leo. Mnajua usumbufu na maumivu tuliyopata wateja wenu? Mnajua Serikali imekosa kiasi gani cha kodi kwa kutwa nzima? Nyinyi binafsi mmepoteza kiasi...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa, linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Kilida Kona wilayani Sumbawanga, Japhet Kigula, kwa tuhuma za kumuua mdogo wake kwa kumpiga na mpini wa jembe kichwani wakati...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
*Funzo kwa wenye michepuko* [emoji116][emoji116] Kabla mahusiano yao hayajakolea jamaa akamkalisha chini huyu mdada na kumpa misimamo yake. "Mpaka tumekuwa kwenye mahusiano maana yake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu,Kifo ni lazima kwa kiumbe chochote kila kilicho hai na kama tunavyofahamu kifo hutujia ghafla bila taarifa.Wengi wetu tungependa kabla ya Muumba kuchukuwa roho yake basi angetupa...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Habarini humu ndani; Ni mgeni humu lakin nilikuwa napitia majukwaa mbalimbali kabla ya kujiregista rasmi,nimegundua kuwa JF ni nzuri kwa kuongeza maarifa katika nyanja mbalimbali.Hakika naamini...
8 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari za Leo wakuu!! Ishu iko hivi kuna watu Fulani walikuwa wanapitapita madukani usiku mida ya saa mbili hivi, wamekuja na gari LA serilali limeanza na STK namba sijaiona vizuri, eti wanadai...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WanaJF, salaam! Kwa mujibu wa UNDP na msaada wa mtandao wa answers.com umetabainisha kuhusu nchi kumi ambazo zinaongoza kwa wasomi na wasomi hao ni wale ambao wamepata kuanzia degree moja. Na...
2 Reactions
23 Replies
11K Views
Habari wanaJF Ndugu zangu wanaJF na Watanzania Malinzi aache kupotosha umaa kuwa Ufisadi ulitosemwa hapa JamiiForums ni kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, Mimi nadhani waandishi waliopata nafasi ya...
5 Reactions
39 Replies
6K Views
Hawa wamesha chosha sana...kuna kijana mmoja wa kiume sijui hajui maadili ya utumishi wa uma..amekuwa kikwazo kwa wananchi.Lugha anazotoa kama anamiliki hisa NIDA..wakuu wake wa kazi wamuonye...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Closed
Nipo hapa kujibu kila swali na kuondoa utata. Mimi ni mganga wa tiba zote za jadi na lengo ni kupeana ufahamu tu. Na ukiwa na tatizo lolote linalo husiana na mambo haya ya uganga wa jadi...
38 Reactions
5K Replies
1M Views
Angalau nipate takwimu ni wanafunzi wangapi wamefukuzwa shule sababu ya mimba? Kati ya hao wangapi walibakwa? Kwa mwenye access ya takwimu za elimu kwa watoto wa kike.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa leo watapelekwa Mahakama ya Kisutu kujibu tuhuma zinazowakabili. Taarifa zaidi zitakujia kupitia uzi huu... ======== UPDATES...
7 Reactions
183 Replies
23K Views
Inasemekana aliyekuwa mmiliki wa mabasi haya alikuwa Muarabu. Muarabu huyu alioa mke mswahili (Msambaa nadhani), Kitendo hicho kilipelekea kusemwa sana na kutengwa na Waarabu wenzake (ndugu...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama una stress au hasira unatakiwa kuzipunguza kwa kuongea kinachokusibu, tumia uzi huu kupunguza hasira na stress, hii itasaidia kutoa maoni yako kwenye nyuzi nyingine ukiwa free from stress.
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Barakatul Eid, Wakuu nafikiri mnaendelea vyema baada ya Eid,Hongereni kwa kusherehekea Eid kwa njia iliyo njema kwa wale waislamu wa kweli,Na wale ndugu zangu manaswara waliovaa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
KAMBI, MAFUNZO KWA VIJANA WA VYUO NA VYUO VIKUU CCM YAMALIZIKA HOMBOLO, VIJANA WAMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI. -------------------------------------- Dodoma, Tanzania. Wanafunzi kutoka vyuo 10...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Ebu tuambie ilikuwaje mpaka ukalizwa
0 Reactions
6 Replies
825 Views
1) Hiroshima Bomb Bomu ka Hiroshima lilipigwa mnamo August 6 1945 huko Japan.Ni moja ya tukio haya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Dunia. Bomu la Hiroshima liliua takribani watu...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Leo nimeona kitu katika page ya dada Jay Dee Instagram nimeona bora nilete hapa kidogo kitambo bibi zetu walikuwa wanavaa kwa mtindo wa kuficha matiti na katikati tuu kwingine kukiwa wazi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi Utapeli ni Rukhsa tanzania? Maana naona mara nyingi watu wanafanya utapeli na hawakamatwi. Wanafanya utapeli Stendi, sokoni, kanisani, msikitini, barabarani, majumbani, mtandaoni n.k lakini...
0 Reactions
7 Replies
971 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…