Mambo 5 yaliyowahi kuishtua Dunia

bushland

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
7,016
4,966
1) Hiroshima Bomb
Bomu ka Hiroshima lilipigwa mnamo August 6 1945 huko Japan.Ni moja ya tukio haya zaidi kuwahi kutokea katika historia ya Dunia.

Bomu la Hiroshima liliua takribani watu 70,000walikufa, Na wengine 70,000walikufa ndani ya miaka 5 tangu kutupwa kwa bomu Hilo kutokana Na vimelea vya sumu ya Bomu Hilo.


2)September 11,2001

Mauaji ya kigaidi yalitokea huko Marekani katika majengo pacha ya kibiashara,mashambulizi hayo yalitajwa kufanyika Na kikundi cha al-Qaida yaliua watu zaidi ya 3,000. Kati ya hao 400 walikuwa zimamoto Na polisi.

Trans Atlantic slave trade.
Hii Ni moja Kati ya biashara ya utumwa kuwahi kutokea Duniani. Hii ilitokea 15'c-19'c.
Biashara hii ilikoma baada ya kuondolewa.
Zaidi ya waafrika milion 60 walikufa katika safari hiyo ndefu yenye mateso makubwa wakielekea Marekani kufanyishwa kazi.

4)Mauaji ya kimbari ya Rwanda 1994.
Dunia nzima ilishtushwa Na mauji haya yaliyohusisha makabila mawilinya huyu Na tusi, mamilioni ya watu walikufa katika mauji haya.
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_untitled(4).png


5) vita ya Vietnam
Vita hii ilitokea huko Vietnam, Laos,Na Cambodia kutoka Nov.1955 hadi April 30,1975
Katika vita hii watu zaidi ya milioni 3,walikufa Kati Yao 58,000raia ya WA Marekani.,75,000wengine walitoka vilema.
C__Data_Users_DefApps_AppData_INTERNETEXPLORER_Temp_Saved Images_untitled(5).png
 
6. Vyeti feki
7. Makinikia
8. Majimbo ya Wabunge wapinzani kunyimwa huduma za jamii 2017/18 kwa kupinga bajeti
 
Back
Top Bottom