Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,763
- 4,587
Kama una stress au hasira unatakiwa kuzipunguza kwa kuongea kinachokusibu, tumia uzi huu kupunguza hasira na stress, hii itasaidia kutoa maoni yako kwenye nyuzi nyingine ukiwa free from stress.
Hahahaaastress kama za bashite hadi kang'oa kibao cha wanyama
Msaada wa Tsh 350,000 tu, nitarudisha Tsh 400,000 baada ya miezi 2 tu !Ndugu yangu kwanini unachukulia watu serious sana humu JF. Mkuu Sijuti namheshimu sana humu na kumfuatilia sana japo hanifahamu, naamini siku moja atakuwa msaada kwangu kwa namna moja amma nyingine.
Kuwe na screening kabla mtu hajachangia chochoteUzi umeharibiwa na watoto
Sikuhizi nao wana stress wameambiwa wakipata mimba wanatimuliwa mazimaUzi umeharibiwa na watoto
Sikuhizi nao wana stress wameambiwa wakipata mimba wanatimuliwa mazima
Kuwe na screening kabla mtu hajachangia chochote
Mnawekaje KIBAO cha WANYAMA wakati yeye MKUU WA JIJI (mwenye nyumba) hana kibao na wala hategemei kuwa nacho...!!stress kama za bashite hadi kang'oa kibao cha wanyama