Naomba takwimu za mimba na ubakwaji

MJ Ryoba

Member
Jun 11, 2017
47
61
Angalau nipate takwimu ni wanafunzi wangapi wamefukuzwa shule sababu ya mimba?

Kati ya hao wangapi walibakwa?

Kwa mwenye access ya takwimu za elimu kwa watoto wa kike.
 
Sidhani kama kuna takwimu sahihi, Maana sisi waTZ maswala ya takwimu ni kama vile hatuyapi kipumbele!!
Labda tusubiri wataalamu watueleze...
 
ukitaka kupata majibu sahihi ya takwimu za ubakaji.
ungefanya research vijijini. kule ndo kuna wahanga wengi. Na hamna wa kureport hayo matukio
 
Back
Top Bottom