Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni siku ya NNE nikijitahidi kuhakikisha napata ÀNKARA yangu ili nilipie kodi ya Kibanda changu lakini mfumo duni wa computer za mamlaka ya mapato Tanzania zimeshindwa kutatua tatizo hili la...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Waganga wa Jadi 41 wanashikiliwa na Polis mkoani Tabora kwa tuhuma za upigaji ramli zinazosababisha uhasama na vitendo vya kikatili ikiwemo mauaji.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakizingumza kwenye mdahalo Ulioandaliwa na taasisi ya kilimanjaro dialogue jana mmoja wa waafrika anayeishi marekan Bin-Butuakwa, alisema kuwa kungekuwepo na free visa kwa waafrika wanaishi nje...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Habari wakuu Nasikitishwa sana na hali inayojitokeza huko kibiti na maeneo jirani kutoka na mauaji ya mara kwa mara kwa Viongozi wa ngazi za chini pamoja na ma afsa usalama. Najiuliza maswali...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Najiuliza tu. Mambo mengine huenda yanahitaji kufikiriwa kwa undani zaidi. Kwa nini wazee wetu hawakumrithisha binti ardhi? Je, huo ni kweli unyanyasaji? Mimi sina jibu lakini najiuliza tu. Hebu...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimejaribu kununua magazeti kupitia blog ya Daudah lakini kina nikiangalia sioni wapi nitume malipo hayo.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
= Ndio watu wa kwanza kuvumbua mswaki = Wachina ndio watu wa kwanza duniani kuvumbua printing technology = Pesa za noti ziligundulika na kuanza kutumika china kabla ya sehemu yoyote duniani. =...
11 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu deal nyingi (80%) za upigaji fedha, utakatishaji fedha, uhujumu uchumi n.k miamala yake imefanyika au imepigiwa pale Stanbic kinondoni. Napata maswali mengi sana kwanini ni Stanbic kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo saa 12:30 asubuhi treni ya jiji kutoka Ubungo Maziwa imepata ajali ya mabehewa matatu kuacha njia eneo la Mabibo Magengeni! Ajali hiyo ya commuter ya Ubungo Maziwa abiria wametoka salama na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
WABABA TUNASEMA........ 1. "Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." *Napoleon_Bonaparte.* 2. "Lengo la kwanza la vita sio kufa...
30 Reactions
78 Replies
11K Views
Kwa mara nyingine mwaka huu, Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya taasisi bunifu ya kifedha Afrika Mashariki. Tuzo hiyo ya ubunifu imetolewa na Jarida la The Business Year (TBY) linaloendesha utafiti...
1 Reactions
7 Replies
936 Views
Hivi kitendo cha sukari kuendelea kupanda bei kiasi cha kutoka 1800 kama bei pendekezwa mpaka 3000 hela ya kitanzania!, serikali inaweza kukili kuwa ilikosea kutoa bei pendekezwa ya 1800 ...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
BOFYA LINK HIYO HUSOME INASIKITISHA Dawa ya Maralia na vipimo hospitali za serikali kuwa bure ni danganya toto, wananchi wanaumia | QUALITY OPPORTUNITY NEWS
0 Reactions
1 Replies
722 Views
Hivi hizi waya hazina madhara kweli kwa afya zetu? maana naona trend imekua kubwa sana ya kutumia stili waya kusafishia masufuria. Na ukizingatia wanawake wa siku hizi kazi zote wanawachia...
2 Reactions
44 Replies
56K Views
Habarini za jioni wakuu. Naomba nitoe dukuduku langu juu ya huyu mwanadada anayekatisha tiketi kwenye kituo cha mwendokasi cha pale Kona barabara ya Kimara. Huyu mdada ni mrefu kiasi huwa anakua...
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Mkoani Mtwara, Kumetokea tukio la kushangaza umma baada ya kijana mmoja (jina kapuni) aliyetoroka kijijini kwao Milangominne huko Mtwara vijijini kwa muda wa miezi mitatu nduguze wakihisia yupo...
1 Reactions
81 Replies
12K Views
Vodacom tunaomba mwendane na hali ya uchumi ya sasa.maana vifurushi vyenu viko juu sana .mfano kifurushi cha wiki tshs 5000 ni gb 1.yaani ukijiunga hata siku haiishi kitu kimeisha.hapa nilipo...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Mtendaji mkuu wa Udart eng. Lwakatare amesema hivi karibuni waraingiza mabasi mapya 166, na wataanzisha ruti mpya za Magomeni to Mbagala na Masaki to Gerezani. Utaratibu utakaotumika ni kama ule...
2 Reactions
112 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…