Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wataalamu wa masuala ya anga za juu wa Marekani wakishirikiana na wengine duniani, wamefanya ugunduzi mkubwa wa sayari saba zenye ukubwa sawa na wa Dunia ambazo zinaizunguka nyota mojawapo kama...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Watu wengi naona wakifanya hivyo sasa ni kitu kinachoniacha na maswal mengi sana je usipoanza mjengea yeye au ukijenga iyo yako na ukae nae tu kuna tofauti gani na je kama wazazi wanayo nyumba...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Hili jambo watu wengi wanataka kulificha , sijui ni kwa faida ya nani ? Kwanza Mabanda mengi ni matupu ( yamekosa wapangaji ) , makampuni mengi ya binafsi hayapo kabisa , tofauti na miaka yote...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Imagine: Scenario I Wewe ni kiongozi wa taasisi, halafu ama kwenye kikao cha ndani au on the public, anaibuka subordinate wako anakuambia "yaani katika maisha yangu sijawahi kuona kiongozi wa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu sana huu mjadala wa R. Abraham Mengi na Ndugu R. Azizi kwa ukaribu sana. Kilichonisikitisha siyo malumbano ya hawa wakubwa, bali ni nafasi yetu sisi kama wananchi na wenye...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa mtumiaji wa maziwa ya Nido kwa siku nyingi lakini maziwa hayo siku hizi hayayeyuki vizuri, sijui ndio wajanja wameshayaingilia au vipi? Hapa nilipo nimenunua kopo moja Batch no...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Wana JF habari, Napenda kuweka mada maalum sijafahamu kama ipo tayari humu ndani itakayokuwa inaonyesha mahali madini yalipo,aina ya madini hayo,changamoto zake ktk eneo husika yanakopatika na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
_Muamar Gaddafi's Prophecies: "I will not go into exile to any foreign country. I was born here in Libya, and I will die here. This country was a dessert, and I turned it into a forest, where...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna tofauti kubwa kati ya kuendelea na masomo ukiwa mja mzito na kurudi shule baada ya kujifungua. Shule ya Oldonyo Kenya ni mfano mzuri wa kuendelea na shule baada ya kujifungua. Kwa Marekani...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi wabunge yale maneno wanayatoa wapi? Mbunge wangu toka achaguliwe amefanya mkutano mmoja tu. Na huo mkutano alihutubia mpaka akaondoka, Hakutuuliza tunataka nini? Hakutuuliza tuna shida...
1 Reactions
3 Replies
797 Views
SUPERFEO YAUA TENA SONGEA KAMPUNI ya mabasi ya Superfeo inayosafirisha abiria toka jijini Mbeya hadi mjini Songea leo tena imepata ajali katika eneo la Hangagadinda wilayani Songea na kuua mtu...
0 Reactions
78 Replies
18K Views
Waungwana inverter yangu imeharibika na feni yake tu ndiyo inazunguka! Hivi kuna mafundi wa hii kitu na wako wapi kwa Dar Es Salaam? Napata taabu as solar power ni back up ya umeme wa kifisadi wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hapa nchini kwa wale walio katika sekta ya Umma, ofisi nyingi kama si zote muda wa kuanza kazi ni saa moja na nusu. Muda huo huwafanya watu waamke kuanzia saa kumi na hata kumi na moja kuanza...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji, ameondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), alikokuwa akipatiwa matibabu na kupelekwa Gereza la Keko, lililopo...
4 Reactions
142 Replies
18K Views
Kuna ubishi ambao umekuwa ukiendelea kuhusu jiji lipi linaongoza kwa ukubwa na wingi wa watu baada ya jiji la Dar. Wengi wamekuwa wanapambanisha Mwanza na Arusha wengine wameenda mbali zaidi...
4 Reactions
53 Replies
13K Views
Habari za muda huu.
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo kila nikiingiza vocha za Airtel UNI 2GB za shs1000/- zinakataa na yanakuja maelezo kuwa " huduma hii imesitishwa kwa sasa, tumia Airtel money'' Swali kama huduma imesitishwa kwa nini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuh hii zinasema Madereva wa Malori wameamua kuacha Magari yao njiani, ni baada ya mwenzao kukwatuliwa Risas Bandarini jana, Magari hayatembei kabisa toka Kibaha kuja Ubungo. Kuna...
2 Reactions
168 Replies
32K Views
Habari wanajamvi, Taarifa ya habari ya Leo 8/7/2017, wakati wa Habari za Michezo hususani habari kuhusu UCHAGUZI WA SOKA LA WANAWAKE TANZANIA. Wakati msimazi wa Uchaguzi akiongea nimeona Mende...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…