Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba munisaidie toleo jipya la income tax inayotumika. Nikitafuta internet napata ya mwaka 2008 lakini naambiwa ipo mpya ya mwaka 2014.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninaombeni kama kuna mtu anaweza kutoa mrejesho kuhusu kusoma kingereza kwa rasi simba Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Shalom wakuu. Na mimi leo nimeshawishika kukumbuka kidogo mambo ya zamani hasa wale waliokulia katika mji wa Dodoma kuanzia miaka ile ya themanini hadi tisini. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia siasa za watu wa bara fulani na maisha yao kwa ujumla nikajikuta nafiki hii conclusion(theory). Inawezekana uumbaji ulifanyika kwa majaribio na kulikuwa na maboresho (model)...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nakumbuka wakati beer hii ikitoka Kenya ilikuwa na wapenzi wengi mno!Baadae ikaadimika sana tukaambiwa Serengeti waliinunua na hivyo itaanza kutengenezwa Tanzania. Walipoanza kuileta sokoni Mimi...
0 Reactions
6 Replies
745 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa HESB, Abdurazack Badru BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESB) imesema haijalishi mnufaika wa mkopo wa elimu ya juu alipatwa na kadhia ya vyeti feki au alifeli...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hii inatoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa wafuasi wake wa karibu jana nilikuwa naye maeneo tukipata mwendokasi alinigusia kuhusu Harakati zao jinsi walivyoweza kutumia mbinu chafu za...
6 Reactions
21 Replies
3K Views
Mbeya, Tabora vinara wa kuzalisha kuku wa kienyeji Sehemu kubwa ya wananchi hili wanaamini mikoa hiyo ndiyo inayozalisha kuku hao kwa wingi. Soma zaidi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Police wa Tanzania ni watu wasiofata sheria tumeona namna ambayo police walivombeba kibindo au tanganyika jeki yule shabiki tena police kama watano in same time hii sio haki kabisa. Ushabiki kama...
13 Reactions
41 Replies
5K Views
Naangalia Star Tv, Novatus Makunga, leo kumbe yupo Star Tv mtangazaji! Ripota ! Mh, dunia gunia! Enzi za madaraka! Novatus Makunga mkuu wa wilaya ya Hai anatumia msafara?
3 Reactions
168 Replies
24K Views
Wana JF naomba kutoa hoja yangu na michango yenu iifikie Wizara ya Elimu. Nimepokea wanafunzi na wahitimu ili wafanye mazoezi ya vitendo na nikagundua kuwa mitaala ya elimu haitajenga nchi...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
Baraza la Taifa la mitihani limetoa matokeo ya mitihani ya kidato cha sita mwaka 2017. Kwa taarifa zaidi nenda kwenye tovuti ya NECTA
2 Reactions
3 Replies
4K Views
*Breaking News! HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017* Breaking News! HAYA HAPA MATOKEO KIDATO CHA SITA ACSEE 2017 - MALUNDE 1 BLOG Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimeona tangazo la ccm limerushwa star tv,huku sauti ya Mh.Tundu Lissu ikiwa katika tangaZo hilo.Jee ni sawa tangazo la ccm kutumia picha za lowasa au sauti ya Lissu bila ridhaa ya wahusika...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Wana bodi. Pamoja na mambo mengine nimeshindwa kuielewa management ya startv na sahara media kwa ujumla.. Ikumbukwe baada ya uchaguzi mkuu 2015 kituo hiki cha tv kimepitia magumu mengi ikiwa ni...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Abiria tumekwama KIA toka jana na leo tumeamkia hapa uwanjani lakini bado hatujui hatima yetu kama tutasafiri Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii inatoka ndani ya ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa wafuasi wake wa karibu jana nilikuwa naye maeneo tukipata mwendokasi alinigusia kuhusu Harakati zao jinsi walivyoweza kutumia mbinu chafu za...
1 Reactions
5 Replies
717 Views
Kifupi ni kwamba wenye mamlaka katika utawala huu wamekuwa wanyanyasaji kwa wanao watawala tena wakati mwingine wananyanyasika hadi kwenye mambo ambayo ni haki yao kabisa kumeibuka uongozi wa...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi sii mwajiriwa ila nina ndugu ameajiriwa kamtafutia mwanangu Bima NHIF , kweli sijui faida na kazi yake maana nasikiaga watumishi hao hao wakienda kutibiwa nazo wanapewa panadol na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Niko hapa nafwatilia msiba wa Joseph nkaissary namwona lowasa nae yumo ama Kweli wamasai wanapendana nimevutiwa na umoja wao usio tambua mipaka ya nchi hongereni sana wamasai wa tanzania...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…