Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau.. Kiukweli TBC imerudi nyuma sana kwa maoni yangu.. sio ile TBC ya tunaangalia hadi EPL, sio ile ya kuangalia vipindi vya kisasa kwa Quality ya kisasa.. TBC ilikuwa hadi na midahalo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mahakama kuu nchini Tanzania imetupilia mbali rufaa iliyofunguliwa na kampuni ya mawasiliano nchini Tanzania Tigo kupinga kuwalipa wasanii AY na Mwana FA bilioni 2.185 kwa kutumia nyimbo zao bila...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwana JF Naomba kuuliza kama kuna mtu Mwenye kujua hili. Ninayo IMEI namba ya simu. Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
119 Replies
11K Views
Kwa nini nasema hivyo tumeshachoka kutembea kwa miguu endapo gari moja tu likileta itilafu kipande kisichozidi kilometa tatu Hapo tena ujue fuleni kuanzia a) zakiemu mpaka hapo tanita b) mwandege...
0 Reactions
2 Replies
955 Views
Ajali mbaya imetokea usiku huu mbele kidogo na kituo cha Picha ya Ndege. Chanzo cha ajali bado haijafahamika . Watu wengi sana wanachota mafuta aina ya Diesel kwenye ndoo na madumu. Polisi...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Nusu saa iliyopita niliona niende mahali nikautetee uhai kufika nimeagiza wali samaki,nikaletewa sasa mie huwa sipendi sana kutumia vijiko vya migahawani huwa hasa nakula kwa mikono.nimeanza kula...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Je mnadhani itasaidia kupunguza uhalifu? Je hii ni haki? Je wataenda? sent from my senderx9 lite using jamiiforums mobile app
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Baadhi ya wanawake kutoka wilaya za Tandahimba na Newala mkoani Mtwara wamesema uonevu dhidi ya umiliki wa ardhi katika wilaya hizo ni mkubwa hivyo wameiomba serikali kutenga bajeti ya kutosha ili...
0 Reactions
3 Replies
923 Views
Wadau,habari za Ijumaa. Nipo huku Musoma mjini mkoani Mara,Kwa kweli wenyeji Wa huku no wakarimu,waungwana na wasiokuwa wachoyo kama baadhi ya mikoa has a ile yenye baridi Kali. Tangu kuwasili...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Jamani salama wadau,katika pilikapilika za kibiashara kama mnavyofahamu Hali ilivyo makampuni mbalimbali yameanzisha vimchezo vya kupromote bidhaa zao kwa kushinda zawadi za vitu fulani ukitumia...
3 Reactions
24 Replies
10K Views
Tanga. Wakazi wa Mitaa ya Kange na Mkurumuzi jijini Tanga wamesema maisha yao yapo hatarini kutokana na bwawa lilioibuka baada ya kubomoka bwawa la samaki la kiwanda cha Rhino kuwa na mamba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tupeni muongozo ni maeneo gani kwa huko south au marekani tukifika tutaweza kupata hata vibarua vya kubeba mabox,hata kufanya usafi kwenye mahotel.ikiwezekana kujitolea ila kuwe na benefit ya...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimemsikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John P. Maghufuli leo akiwa kwenye uzinduzi wa barabara ya NYAKANAZI-KIBONDO, Km 50 kiwango...
0 Reactions
4 Replies
965 Views
Jeshi la Polisi limethibisha kuwa mtu mmoja amefariki papo hapo katika ajali iliyohusisha magari 3matatu aina ya Scania ajali imetokea usiku wa kuamkia leo eneo la Picha ya Ndege, Kibaha Mkoani Pwani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mahakama tusikilizeni kesi za ujangili tuachene na kina Lissu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Ndugu watanzania wenzangu, mimi kama mdau mmojawapo wa amani katika nchi yetu hii Tanzania, nimeona ni vema nipate ufafanuzi wa kina juu ya uhalali wa vyombo vya habari kueneza habari za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanafunzi wawili wa kitanzania kutoka Feza boys na indian school wakiwakirisha nchi yao kwenye mashindano ya mathematical olympiad (imo) yanayofanyika Janeiro Brazil karibu nchi 110 zikikishiliki...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini za muda wana jamvi? Kama kichwa cha bandiko kinavojieleza Kwa ufupi mm ni mtumishi wa umma ambaye nilichukua mkopo benki x .lakini tangu nimerenew mkataba ni mwaka sasa makato mapya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Glenna Duram amepatikana na hatia ya kumuua mumewe Martin Mwanamke amepatikana na hatia ya kumuua kwa kuimpiga risasi mumewe mara tano katika jimbo la Michigan kwenye kisa ambacho kilishuhudiwa na...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Umuofia kwenu wakuu, Jamani naombeni kuuliza,hivi kutoa pesa kwenye ATM au kutoa kwa Wakala wa benki mfano NMB Wakala, wapi kuna gharama/tozo nafuu katika kutoa pesa?! Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…