KIBAHA: Mtu mmoja amefariki papo hapo katika ajali iliyohusisha magari 3

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Jeshi la Polisi limethibisha kuwa mtu mmoja amefariki papo hapo katika ajali iliyohusisha magari 3matatu aina ya Scania ajali imetokea usiku wa kuamkia leo eneo la Picha ya Ndege, Kibaha Mkoani Pwani.
 
Back
Top Bottom