Watanzania mliopo South Africa na Marekani

Watanzania mliopo South Africa na Marekani

Tupeni muongozo ni maeneo gani kwa huko south au marekani tukifika tutaweza kupata hata vibarua vya kubeba mabox,hata kufanya usafi kwenye mahotel

Kwani hapo unapoishi sasa hivi Maboksi yameisha ya kubeba kuyapeleka hapo nje? Kabla ya kutaka kufanya usafi katika Mahoteli je hapo Chooni Kwako umeshapafanyia usafi?
 
Tupeni muongozo ni maeneo gani kwa huko south au marekani tukifika tutaweza kupata hata vibarua vya kubeba mabox,hata kufanya usafi kwenye mahotel
Hii ndio bongo nyoso....[emoji13] [emoji13]
Mkuu umechoka maisha ya hapa Bongo nini? Komaa
Vijana wa hizi siku wanasema.......
Bongo bahati mbaya...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tukomaeni tu jamani. Slogan ya hapa kazintu ifanye kweli.
 
Unajuwa maisha ni popote pale. ww kama mtanzania una fursa nyingi t za kutoka kimaisha kuliko huyo aliyekuwa marekani.Tanzania tuna ardhi nzury kwa kilimo. Tuna maeneo mazury kwa ufugaji. Kwa nn unaharakia kwenda kufanya kazi zisizo na maana America wakati Kazi za kufanya Tanzania zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom