ATM vs wakala wa benki

ATM vs wakala wa benki

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Umuofia kwenu wakuu,
Jamani naombeni kuuliza,hivi kutoa pesa kwenye ATM au kutoa kwa Wakala wa benki mfano NMB Wakala, wapi kuna gharama/tozo nafuu katika kutoa pesa?!
Natanguliza shukrani[emoji120]

Sikiliza Toka Kwangu!
 
Back
Top Bottom