Kuna swali moja huwa najiuliza sana katika maisha tunayoishi.
IVI INGEKUWAJE KAMA TUNGEKUWA TUNAISHI BILA UWEPO WA NYUMBA ZA IBADA KAMA MISIKITI AU MAKANISA.
UNAFIKILI TUNGEKUWA TUNAISHI...
Zamani ilikuwa kawaida kusikia hizi kauli kutoka kwa wasomi wengi wa elimu ya juu...
Private muajiri anabana sana...
Serikalini Kuna muda mwingi wa kufanya mambo yako...
Pia Kuna semina semina...
Wamama mlioajiri kina dada wa kuwasaidia kazi za nyumbani mnawalipaje mshahara??? Unampa kwenye bahasha, cash, unatuma kwao au unafanyaje??? Nimeona hii topic sehemu nikasema tupeane uzoefu...
BINGWA WA ZANZIBAR KUWAKILISHA TANZANIA KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA CAF CONFEDERATION .
Kufuatia shirikisho la soka barani Africa CAF kuifutia uanachama Zanzibar na kutambua Tanzania kama nchi...
habari wakuu.
miaka miwili sasa watumishi tunateseka kwa kuishi kwa mishahara ile ile hasa sisi wa serikali kuu.
huku watumishi wa uma wenzetu waliopo kwenye mashirika ya uma kama nssf, ppf...
Uliumbwa kwa udongo, ukatoka kwenye uzazi wa mama yako, ukanyonyeshwa na mama yako, ukalishwa na chakula alichoumba Mungu, ukawa mtu mzima na kubahatika kuwa na cheo serikalini hutaki kupingwa na...
“Every day I get up and look through the Forbes list of the richest people in the world, If I’m not there, I go to work”. Vinnie Rege
-Kila siku nikiona jina langu halipo kwenye ukurasa wa watu...
Gazeti moja limelipoti taarifa kuwa
Jamaa mmoja amemfungulia mashtaka mkewe kwa kumzalia watoto wenye sura mbaya kiasi cha kuwaogopa
Bwana Feng alilalamika kuwa licha ya yeye Na mkewe kuwa Na...
KWAKUWA WANATUMIA MITUNGI MIKUBWA KUCHAKACHUA ITOE FAIDA KUBWA
GESI ZA MITUNGI MIKUBWA ZIPANDE ZOTE BEI KAMA ALIVYOPANDISHA MIHANI 106" 000 FRM 85" 000
NA ORYX NA LAKE WAWE NA BEI MOJA NDIO NJIA...
Wakuu sijaelewa kabsa huu mshahara ulivotoka, badala ya kupata kima changu cha kawaida napata 160. Nasikia kuna makato kwa wafanyakazi wote ni kweli hili.
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili jambo muda mrefu. Nimekuwa nikiota ndoto na kusumbuka sana usiku ila ukiamka baadae inakuwa ni kweli.
Mwezi uliopita niliota rafiki yangu kapata ajali na...
Habari wandugu Hivi karibuni nimemsikia waziri Angela Kairuki (TAMISEMI) akiwapa tahadhari waajiri kuwa makini wanapotoa uhamisho.Swali Je uhamisho umeshaanza kutolewa? Kama ndio ni kwa utaratibu...
Habari wanaJf!
Nimefatilia mkopo wa biashara, nimefikia hatua ya mwisho lakini mdhamini imekuwa tatizo, anahitajika mtu mwenye kitu kisichohamishika, nahitaji kuchukua 7mil nitairudisha ndani ya...
Mamlaka ya Chakula na Dawa ( TFDA ) Kanda ya Ziwa imeharibu bidhaa mbalimbali za chakula zisizokidhi viwango vya ubora na usalama vilivyokamatwa katika baadhi ya maduka ya jiji la Mwanza, huku...
Habari wakuu!
Kama kawaida kuanzia jana wengi tumeshalipwa haki yetu ya mshahara na serikali. Ni mwaka wa pili sasa watumishi tumepigwa chenga na serikali kwa kutoongezewa mishahara kwa mgongo wa...
Inakadiriwa kuwa kati ya watu 800,000 na 1,000,000 hapa nchini wanaingia kwenye soko la ajira kila mwaka. Hawa ni vijana wanaomaliza masomo yao kwa ngazi mbambali za elimu au wale wanaokosa nafasi...
Mkuu Wa Wilaya ya Iringa akitoka kwenye kusikiliza mgogoro wa wakulima na wafugaji Idodi, alikuta ajali ndio imetokea ikabidi asimame na kuanza kuokoa majeruhi ambapo dereva alikimbizwa hospital...
Nimeona wakiweka hii Global kubwa kabisa pale mjini.
Imechorwa mabara yote na nchi zikiwa zimeandikwa.
Nadhani kwa Tanzania hii italiwa ya kwanza mjini.
Ni kiashiria kizuri cha usomi.