Ndoto kugeuka kuwa ukweli

Ndoto kugeuka kuwa ukweli

Makandila9090

Senior Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
161
Reaction score
193
Nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili jambo muda mrefu. Nimekuwa nikiota ndoto na kusumbuka sana usiku ila ukiamka baadae inakuwa ni kweli.
Mwezi uliopita niliota rafiki yangu kapata ajali na kufariki. Na ni kweli ilitokea na nilipata taarifa asubuhi nilipoamka
Leo nimeota pia usiku kuna jamaa yangu nimesoma nae miaka mingi iliyopita kufariki,nimeshangaa muda sio mrefu nimepigiwa simu ni kweli mshikaji kavuta mchana huu.
Yako mengi sana na mengi 90% inakuwa ukweli ya kile ninachokiota

Hii imekaaje wadau, nini tafsiri ya hizi ndoto?

Nawasilisha

Makandila
 
57cc3c25b566a77976ff22d65a57c511.jpg
ota na matokeo ya hapa basi hapa nafikiri sana ningekuwa wewe ungekuta ni marehemu sasa hiv juzi niliota nimekufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho Mtakatifu a nakujulisha juu ya mambo yalivyo pita yanayotokea sasa na yale yajayo. Hicho ni kipawa ambacho unatakiwa unitumie vyema. Tafuta makanisa ya wasiookoka kiukweli wakisaidiana. Epukana na wale wanaoimba Acha muziki weka maneno ni wasanii tupu

Shukrani mkuu nitajaribu kukipalilia hiki kipawa

Makandila
 
Back
Top Bottom