Dunia yazidi kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli

Dunia yazidi kumpongeza na kumuunga mkono Rais Magufuli

hugochavez

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
1,907
Reaction score
1,009
Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za kibiashara.

Jamaa ana make headlines vibaya mno hasa ishu ya kulinda rasilimali za nchi hasa madini wanamkubali mno. Huku USA nimewaambia natoka East Africa wanauliza Tanzania? Wanauliza, are you from the country of TRUMPH OF AFRICA? or from Nigeria?

Yaani nchi za Africa zinazojulikana huku duniani ni Tanzania kwa sababu ya Magufuli na Nigeria. Bado nipo nipo hapa, baadae jioni nataka nimtafute dada yangu Mange kwa lunch au dinner nipige naye story.

Yeyote aliyepo huku anichek tubadilishane mawazo.
 
TRUMPH" ndo mdudu gani? Wamsifie Magufuli kwa kipi alichokifanya? Msilete michezo ya bao humu mkiwa ofisi zenu za ccm
 
Mkuu, mimi mwenyewe katika pitapita zangu huku naona watu wanamsifia na wanamkubali kweli Lissu, haswa kwa kutokukubali kinyamaza na kusimamia kidete haki ya kutoa maoni!

Je utaniamini kwa haya maneno matupu?

Nimekuonyesha tu, jinsi gani hata mimi naweza kujikunja nikaandika mtu fulani anasifiwa kumbe sio ukweli, ni mahaba yangu tu!
 
Acheni uzushi hakuna sifa hizo nyie vijana wa Lumumba acheni uzushi
 
Rais huyu mzalendo kumbe anakubalika mno, hayuko peke yake. Nimepitapita states kadhaa za Marekani, sasa niko calfonia yapata wiki sasa, nikiwa nimetokea China kwenye shughuli zangu za kibiashara.

Jamaa ana make headlines vibaya mno hasa ishu ya kulinda rasilimali za nchi hasa madini wanamkubali mno. Huku USA nimewaambia natoka East Africa wanauliza Tanzania? Wanauliza, are you from the country of TRUMPH OF AFRICA? or from Nigeria?

Yaani nchi za Africa zinazojulikana huku duniani ni Tanzania kwa sababu ya Magufuli na Nigeria. Bado nipo nipo hapa, baadae jioni nataka nimtafute dada yangu Mange kwa lunch au dinner nipige naye story.

Yeyote aliyepo huku anichek tubadilishane mawazo.
Kwa hiyo ukishaenda Marekani na China dunia? Au unataka kutukoga kuwa umeenda huko ili tukuone ni wa matawi ya juu?
 
We jamaa hujawahi kufika china wala hyo marekani na ninahisi hata paspoti huna,unadhani humu kuna mazuzu eeh?,CALFONIA ndio mdudu gani,yaani wewe hujui hata hali ya kisiasa ilivyo huko marekani hivi sasa,eti nchi za afrika zinazojulikana marekani ni Tanzania na Nigeria kuanzia lini,mods hebu toeni hili shudu kabla sijatukana mtu
 
Sijaambulia lolote zaidi ya kwamba, ulikua China na sasa upo USA na wewe ni mfanya biashara ambae unapanga jioni ifike ukamtafute Mange ili mpate lunch au dinner..... ambapo pia haujui kwamba wakati huo utakua ni muda wa chakula gani....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom