tramadol
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 5,383
- 4,323
Hii kadhia imeishia wapi je kuna mtu yoyote aliyepoteza maisha maana meseji zilizokuwa zinasambazwa kuhusu kula mboga za majani na uwepo wa huyu mdudu kama vile kuna sumu imeingia nchini na sasa watz wanateketea wakati sisikii tena kuendelea kwa hizo meseji?