Mimi ni mkazi wa Viziwa Ziwa Shule, Serikali ya Mtaa Viziwa Ziwa, Kibaha mkoa wa Pwani. Nina malalamiko kwa Serikali kuhusiana na mradi wa urasimishaji ardhi wa Halmashauri ya Kibaha mkoa wa...
Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika.
Swali la kwanza:
Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena?
Yaan...
NIDHAMU NI NJIA YA MAFANIKIO UNAYOITAJI KATIKA MAISHA YAKO.
Kama umri wako bado ni kijana ni muhimu kutambua nidhamu ni nguzo ya mafanikio yako,
ukishindwa kujenga nidhamu kipindi cha ujana...
Je zile Daladala na Bajaji Ambazo Tayari Zimebadilishwa Mfumo Kutumia Gesi ya CNG nazo Zinaongeza Nauli? Maana Kg 1 ya CNG Ambayo ni Sawa na Lita 1 ya Petroli/Dizeli ni TZS 1550 tu.
Kufuatia...
Chini ya mwanga hafifu wa mwanzoni mwa majira ya mpukutiko katika Kizio cha Kusini, mistari ya chupa inasikika kwa utulivu katika Kiwanda cha Mvinyo cha Diemersdal huko Cape Town Afrika Kusini...
tengeneza chai kwa kuchemsha maji na majani ya chai ( zidisha majani ya chai kuliko kawaida )
kisha baada ya chai kuchemka vizuri acha ipoe
ikishapoa chuja na kuwekea sukari nyingi nyingi, kama...
Ukizunguka kwenye vituo vyote vya daladala, hata mtaani kwenu ukichunguza watu wanaolala barabarani au nje ya maduka asilimia 99.999 hawana kipara.
Unakuta mara nyingi wanakula vyakula kutoka...
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafirishaji Ardhini (LATRA), Habibu Suluo, amesema kuwa kupanda kwa bei ya Mafuta ya sasa haiathiri nauli hivyo nauli zitaendelea kubaki vile vile...
wakuu kutoka kwenye stori yangu kunakitu unaweza kujifunza kwangu ukachukua na kukitumia siku fulani:
Siku moja nilikasirika sana.
Sio ile hasira ya kawaida. Ilikuwa ile hasira ambayo unahisi...
Mafanikio yako ni mabadiliko kwa wengine
Kitendo cha kupigania ndoto au malengo yako ni kitendo cha kuthamini kuumbwa kwako kutoka kwa Mungu, kitendo cha ku thamini wazazi wako na jamii kwa...
Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo...
Nimegundua nguvu iliyopo kwenye kuzungumza na Kushindana kwa Maneno!!
Kwa muda mrefu ninekuwa nikiliwaza sana hili suala, Kwanini mtu huwezi kufanikiwa au kupata jambo fulan mpaka uwe...
Mwanzo 12:1
Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
Mwanzo 12:2
nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na...
Fikiria mtoto wako, damu yako ameptwa na tatizo la kiafya. Matibabu yake ni shilingi laki 8, lakini huna pesa. Unashuhudia kila pumzi yake ikijaa uchungu, bila kuwa na uwezo wa kumsaidia, ni...
Ndugu zangu
Wababa na wamama .. kuna mtindo mwanamke akiwa amechoka hasa nyakati za usiku anamnyonyesha mtoto mchanga huku amelala kiubavu,
Style hii anamlaza mtoto alafu anamvuta usawa waziwa...
Soko la buguruni ni moja ya soko kubwa na maarufu ndani ya jiji la Dar es salaam ambalo linahudumia watu wengi hasa kwa wafanyabiashara wa matunda. Lakini cha kusikitisha miundombinu ya soko hilo...