Performance
Gold production was 829,705 ounces,
13% higher than 2015, as a result of
the range of improvements made within
our operations.
outlook and expectations
We expect gold production in...
Breakdown Tanzania imekuwa ni kero hususani hapa jijini Dar es salaam mara upatapo ajali ambayo gari yako inabidi ivutwe au kubebwa na Breakdown.
Kwanza magari yenye kutu tupu hata number unaweza...
Hebu wadau niambieni nitawezaje kwenda kujipanga kutwa nzima na njaa eti kupiga kura kwa haya yanayotokea sasa. Nisaidieni mawazo. Hata wanangu na wajukuu nawashawishije kupigakura.
Mwanamke mmoja mjini Moshi amefariki dunia siku moja kabla ya mazishi ya mumewe.
Tukio hilo limekuwa gumzo katika Kata ya Pasua na viunga vyake kwa kuwa mwanamke huyo ndiye aliyekuwa akiwasihi...
Naangalia documentary ya mashujaa hapa naona mmeziba hiyo video na nembo yenu mpaka haionekani vizuri,na ukizingatia video hii ya zamani picha Zane hazina ubora mbona sio nyinyi wa kwanza...
Huwa najiuliza mashujaa tunaowakumbuka ktk siku hii ni wale wa vita ya kagera pekee,MBNA hawatupi historia za majimaji,mkwawa,na hats wale walioshiriki ktk ukombozi wa kusini mwa afrika.....
Sent...
Chama cha Walemavu Tanzania (CHAWATA) imemuomba Rais John Magufuli kurasimisha shughuli ya usafirishaji abiria kwa kutumia Bajaji, kuwa ya walemavu pekee, ili kundi hilo liweze kujikwamua kiuchumi...
Nimejaribu kupiga 100 ila sijafanikiwa, kama yupo kwenye namba tofauti na hiyo au namna yeyote naomba anisaidie
Jitu jeusi is system developer & programmer, Mungu anatupenda sote
Kwanzia Mwaka 2001 Tundu Lissu Amekua Akikamatwa Kwa Kosa La "Uchochezi" Lakini Mpaka Leo Hajawai Kukutwa Na Hatia !!
Leo walioitwa Tumbili wameitwa Wazalendo muda ukifika wanaoitwa Wachochezi...
Wanabodi
Baada ya katazo la wahariri kurusha habari zote za RC wa Dar Mh Paul Makonda
imeonekana wazi channel 10,efm na sahara media group kupitia star tv wamekyuka agizo la bodi ya wahariri!
Na...
Nawasalim sana wakuu,
Nashukuru sana kupata nafasi ya kuandika angalau kiduchu... Kimsingi nimefurahishwa na movie inayoendelea kati ya TCU na Vyuo vikuu na mifumo ya kudahili wanachuo vyuoni. TCU...
Wanajamvi salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kila mmoja kwa nafasi yake.
Sema hili deni letu tulifanyie nini la muhimu katika nchi yetu.
Ili kila mwananchi aweze kunufaika nalo.
Mie...
Uzalendo wautoe wapi?? Waliowengi uwizi wao huanzia kwenye sanduku la kura sasa tunatarajia wawe ni watu wenye kutenda haki au kutetea maslahi ya taifa ??
Uzalendo hukosekana tangu kwenye...
Nimeona StarTv wamerudi hewani baada ya kufungiwa na TRA kwa kushindwa kulipa deni la kodi la bilioni 4 na nukta kadhaa
Diallo aliambiwa alipe angalau bil.2 akashindwa
Sasa nauliza hizo B 2...
Hivi TANESCO wana tofauti gani na mamantilie anayeuza chakula na ana duka la mafusuria?
Ukienda kusema, “Nipe wali samaki,”
Anakwambia, “Nunua sufuria nikupikie”
Unanunua, anapika, anakutengea...
Nikiwa katika halmashaur ya Bukoba vijijini nimekutana na migongano baina ya wanakijiji na uongozi wa shule ya msingi Kilaini, wakiwa wanazozana juu ya hatima ya wanafunzi wawili wakike...
Aliekuwa mkuu wa shule ya secondary Mkwese ilioko Manyoni Mkoani Singida, Rashidy Dia Kiya ametutoka
Amefariki leo usiku dar er salaam katika hospitali ya hindu mandary tuko hapa kwa utaratibu wa...