WATU wawili wamekufa katika matukio tofauti katika mkoa wa Rukwa, akiwemo mkazi wa Kijiji cha Mafulala Manispaa ya Sumbawanga, Anna Kashamsakula (35) aliyeuawa kikatili baada ya kuchinjwa na...
Mwanamke mmoja mkazi wa Bomarodi manispaa ya Morogoro Neema Monyo amekamatwa na maafisa wa mamlaka wa usimamizi wa bima kanda ya kati (TIRA) kwa kushirikiana na jeshi la polisi kikosi cha usalama...
Miaka 4/5 hivi nilikuwa Dar, ikatangazwa kuwa pengine tsunami ingeweza kupiga bahari ya Hindi na pwani yake. Watu walianza kutoka ofisini mapema saa 8 kuelekea majumbani. Nikiwa Posta nilitumia...
Arusha. Wafanyabiashara wanne wa madini waliomwagiwa kemikali machoni wamehamishiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyoko mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya uchunguzi zaidi wa kiafya...
Tangia walipopigwa faini kwa uzembe wao sasa wameamua kuwaibia wananchi kwa nguvu. Jana niliweka vocha ya 1,000. Nikajiunga na kifurushi cha 500 cha University.
Ukibonyeza *148*00#
Wakawa...
Habar,
Wakuu mama yangu aliibiwa simu sikukui ya idd maeneo ya Magomeni ikiwa na laini mbili ya tigo na zantel,tuliwapigia tigo tukawaambia waifungie laini wakakubali lakini hawakufanya hivyo...
Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Dodoma imewahukumu watuhumiwa saba kifungo cha miaka 32 jela kila mmoja baada ya kuwatia hatiani kwa makosa matatu ya kukutwa na meno 18 ya Tembo, kuunda genge la...
Naombeni msaada wenu wakuu, mimi ni mtumishi wa umma ambae nimejiunga na watumishi portal, mwanzo nilikuwa naingia vizuri tu na kuangalia taarifa zangu lakini kwa sasa inagoma naambiwa neno la...
Baada ya Unafiki na Usaliti mkubwa uliotukuka na kuvuka mpaka uliofanywa na Vyombo hivi vya Habari vinavyoheshimika nchini vya Startv na RFA kisha Channel Ten na Magic fm kisha leo hii asubuhi...
Nilikuwa napiga kinywaji jana pale Landmark Hotel Ubungo Riverside, nikabadilisha mawili matatu na mmliki wake na akaniambia Hosteli hazilipi, anajilaumu kurupuka kuchukua uamuzi wa kufunga hotel...
Ikumbukwe wiki kadhaa zimepita paliibuka uvumi wa uwepo wa mchele wa plastic hapa nchini unaosadikiwa kutoka nchini china. Lakini baada ya muda TFDA waliibuka na kusema hakuna kitu kama hicho hapa...
Wakuu ni matumaini yangu kuwa hhamjambo!Naomba kama kuna afisa au bwana Afya aje inbox nimpe dili kuna kampuni moja kubwa tu hapa mjini Dar inafanya uchafuzi wa mazingira kwa kutirisha kinyesi cha...
Ni mwezi kama huu (July) miaka minne iliyopita nilienda katika mahakama moja katika mkoa fulani hapa Tanzania nikiwa katika pilika pilika zangu za kuomba mkopo kwa ajili ya elimu ya juu. Ilikuwa...
Samahanini sana wana wa JamiiForums,
Hivi ni kwanini tulio wengi tunatumia fake avatars(profile picture) au fake name au vvyote kwa pamoja? Nikianza mimi, natumia fake avatar na jina kwa sababu...
Imegundulika kwamba hii Mikoa mitano ( 5 ) ifuatayo ndiyo inaongoza kwa kuwa na upungufu wa matundu ya Vyoo katika Shule zote za Msingi hapa nchini Tanzania......
Geita ( Ngosha )
Dar es Salaam (...
Nimetoa Dodoma kuja mwanza nimelipa nauli luxury gari unaambiwa ina choo ndani Ila tumejazwa tiketi moja wamekatiwa watu wa tatu nyingine hadi wa 4 Hewa hakuna hewa nzito watu wamekaa mpaka...
Nadhani nikujipanga aisee na mazoezi spesho, kupunguza weight ni kazi sana. Belly fat ni ishu. Hongereni mnaowezea. Hii Jumapili iliyopita nilibahatika kupita kiwanja kimoja cha mpira...
kwann kuna mkanganyiko kwenye matumizi ya hiz herufi? yan kuna watu hawajui ni wapi pa kuweka 'R' na wapi kwa kuweka 'L,' mwenye kujua tatizo hili liliko anzia anijuze
wasalaam