Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau.. Kwa yoyote mwenye mwongozo toka Wizara ya ujenzi mawasiliano na uchunguzi kuhusiana na kutumia National Datacenter au EGA kwa ajili ya disaster recovery au relocation services...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf naomba mwenye kujua kifaa kinachotumiwa kupima speed ya magari traffic hutumia jina la kifaa hicho kwa lugha ya kiswahili na yakiingereza naomba kujua tafadhali Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Vibaka Mbelwa na Mandela ni vijana wanaoishi kijiji cha Kondo kuelekea makaburini. Vijana hawa wamebobea kwa wizi wa kila aina, na mahali pao kwa kuvunia ni maeneo ya Tegeta Masaiti na nyumba za...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha hbr hapo juu,yaani Huu mtandao wa Halotel kwa Sasa haufai kabisa,uko slow hata mwend wa kinyonga mkubwa mwanzo walianza kwa mbwembwe,ila Sasa wamelewa sifa basi ndio shida kabisa...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
JUMLA ya taasisi 1,500 hapa nchini sasa zinatumia huduma ya M Pesa inayotolewa na kampuni ya Vodacom kwa ajili ya kukusanya mapato, kulipia bili na huduma nyingine za kifedha, imefahamika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili Taifa Bhana!!!! 1. Taifa ambalo binti zake wakimwona Mzungu wanadhani ana ela. 2. Taifa ambalo ukiongea kiingereza unaonekana umesoma. 3. Taifa ambalo bank haikutafuti we ndo unaihonga...
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Anaitwa Ramadhan Yasin Isuja mwanafunzi wa Kidato cha TATU Shule ya Sekondari Moshi (Zamani Old Moshi) Huyu ana kipaji cha pekee japo waweza muibulia KIPAJI CHAKI lakini ni MTUNZA MUDA wa shule...
13 Reactions
113 Replies
15K Views
Mgini Aron (37), mkazi wa Magunga Wilaya ya Butiama Mkoani Mara, amefariki dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mkewe Jeni Mwenda (25) kwa sababu ya wivu wa mapenzi. Akizungumza na...
1 Reactions
82 Replies
10K Views
MAMLAKA ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) Mkoa wa Tanga, imesimamisha boti 22 kutoa huduma za usafiri majini kutokana na kutokidhi vigezo vya ubora. Boti hizo zimefungiwa kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Jaman za kazi za kuijenga nchi... Nimepatwa na janga binafsi sina hata cha kufanya... Nilibeba begin lina hivyo vyeti.. Sasa konda ile kulazimisha niweke bwgi kwe bag carrier wakati wa kushuka...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Wadau mwenye uelewa kuhusu immo ring(au pete za mammlaka/bahati) naomba anielekeze. 1. Faida 2.Hasara Karibuni.
1 Reactions
47 Replies
63K Views
Ukatili wa Kingono kwa wanawake na watoto umetajwa kuwa tishio nchini, ambapo kuanzia Januari hadi Machi mwaka huu, kumekuwa na matukio 2,059 yaliyoripotiwa kwenye vituo vya polisi, ukilinganisha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ripoti ya nusu mwaka na Haki za Binadamu iliyozinduliwa Jumatatu Julai 31, 2017 na Kituo cha Sheria na Haki Binadamu (LHRC) inaonyesha bado hali si nzuri nchini. Akizindua ripoti hivyo jijini dar...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji(EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaanza kutumika kesho ambapo bei ya mafuta ya Petroli imeshuka kwa shilingi 36 kwa lita, Dizeli...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Kampuni ya ujenzi wa nyumba za watumishi wa Serikali (WHC), imeanza ujenzi wa nyumba 159 kati ya 500 huko mkoani Dodoma. Ujenzi huo wa nyumba za watumishi unatekelezwa katika eneo la Njedegwa...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari wadau, Kwa muda sasa nimekuwa nikiona post mbalimbali za misiba na huzuni mbalimbali Facebook, instagram na humu jamii zikipewa likes. Kwa uelewa wangu like inatolewa pale mtu anapopenda...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hbr Zenu Wana Jf.Nimetumia Intelijensia Ya Umakini Sana Nikagundua Ofisa Muidhinishaji Mikopo Anaendelea Kutoa Mikopo Kwa Wengine Huku Mimi Nikiambiwa Kuna Tatizo La Kimtandao.Nimegundua Hilo Toka...
0 Reactions
6 Replies
992 Views
Bomoabomoa Mpanda ni Vilio Tupu, Mamia ya Nyumba Zabomolewa Wakazi wa maeneo ya Tambukareli, Mpanda Hotel na Msasani, wamejikuta katika sintofahamu baada ya Shirika la reli Mkoa wa Katavi kuwataka...
2 Reactions
60 Replies
10K Views
KITUO CHA TV KUNILIPA TRIONI 5. Nimeshangaa kituo fulani cha Tv kilirusha habari za kupotosha juu yangu na kutangaza mimi ni Jambazi na Gaidi, kipindi nasimamia uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya...
2 Reactions
216 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…