Nmepoteza cheti cha form four na six kwe daladala what to do

cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
3,568
5,504
Jaman za kazi za kuijenga nchi... Nimepatwa na janga binafsi sina hata cha kufanya... Nilibeba begin lina hivyo vyeti.. Sasa konda ile kulazimisha niweke bwgi kwe bag carrier wakati wa kushuka nkajikita nmesahau vyeti.. Mbaya zaidi sikuchukua tiketi...

Gari ilikua ya makimbusho Mbagala... Kimebaki cha Chuo tu sikukibeba..na hili taadhima ya magu sijui mnanishaurije...need help!
 
Nafikiri unatakiwa kuripoti polisi kwanza, kama hauna namba zako nenda uliposoma wakupe.

Pia nenda stendi labda utawaona na wamekuwekea begi.
 
Namba nnazo koz nna soft copy...najiandaa niende Polisi soon kituo nilifuatilia sema so unajua Mbagala...kikubwa kupata jibu linaloeleweka....vp swala LA uhakiki wakitaka original haiwezi athiri? Nipo kazini ila ni sekta binafsi...ila napenda kua safe side...its frustrating...ila shukran kwa ushauri
 
Lakini si ulishahakikiwa? Au ulikuwa hujapata ajira? Kama ndivyo basi toa taarifa polisi ili upate 'loss report' halafu utangaze kwenye gazeti la SERIKALI mwisho, chukua page ya gazeti iliyotoa hiyo taarifa then hifadhi hizo docs mbili, tulia!
 
Jaman za kazi za kuijenga nchi...nmepatwa na janga binafsi sina hata cha kufanya....nilibeba begin lina hivyo vyeti..sasa konda ile kulazimisha niweke bwgi kwe bag carrier wakati wa kushuka nkajikita nmesahau vyeti..mbaya zaidi sikuchukua tiketi...Gari ilikua ya makimbusho Mbagala...kimebaki cha Chuo tu sikukibeba..na hili taadhima ya magu sijui mnanishaurije...need help

Nakupa ushauri wa bure endapo unavitahitaji sana: ukienda legally utachelewa sana au utaishia kuzungushwa zungushwa mara mahakamani mara polisi mara NECTA...sasa wenzio wakipoteza vyeti huwa wanafanya hivi: Wanatutafuta wataalamu kama sisi tuna "clone" using same technology iliyotengeneza hivyo vyeti (paper, security marks, etc). So as long as data ni zile zile, hautakuwa na tatizo au hupaswi kujihesabu kuwa umefoji. Kila cheti kitakucost laki 1
 
Naona mbuzi amefia kwa muuza supu
 
Duh Mdau umeshindwa hata kuja inbox...maana hiyo ni kama na kukutwa na nyara za serikali
 
Lakini si ulishahakikiwa? Au ulikuwa hujapata ajira? Kama ndivyo basi toa taarifa polisi ili upate 'loss report' halafu utangaze kwenye gazeti la SERIKALI mwisho, chukua page ya gazeti iliyotoa hiyo taarifa then hifadhi hizo docs mbili, tulia!
Nipo private sector boss..hatuna uhakiki
 
Jaman za kazi za kuijenga nchi...nmepatwa na janga binafsi sina hata cha kufanya....nilibeba begin lina hivyo vyeti..sasa konda ile kulazimisha niweke bwgi kwe bag carrier wakati wa kushuka nkajikita nmesahau vyeti..mbaya zaidi sikuchukua tiketi...Gari ilikua ya makimbusho Mbagala...kimebaki cha Chuo tu sikukibeba..na hili taadhima ya magu sijui mnanishaurije...need help
1.utatakiwa kuripoti polisi wakupe loss report
2.utaenda nayo baraza la mitihani
3. utatakiwa kutoa matangazo ya kupotelewa na vyeti kwenye magazeti ya serikal cost yake ni kama (50k)
4.baraza wanaeza kukupa statement ya matokeo yako (hiki sio cheti halisi bt kinathibitisha matokeo yako ya mitihani)
5 habar nzur ni kwamba siku hz wanatoa vyeti vingine kama ulimaliza kuanzia 2008 kuja juu hv hutolewa baaa ya miezi mitatu utakua umepatiwa vyeti vyako gharama yake kama sijakosea ni 100k

kama ntakua nimekosea watanirekebisha
bt akat hayo yanaendelea jarbu kulitafuta hilo gar kakaae yanapoanzia kupandisha abiria either makumbusho unaeza kumuona yule konda akakusaidia poteza mda wa kama masaa matatu kituoni naamin utafanikiwa
 
Mkuu mbona kama umepanic! hata sijakuchukulia km mjinga but nimekupongeza kwa kutumia hiyo fursa na kujitangaza ktk fani yako
Samahani sana mkuu km nimekukwaza
Sikujitangaza...huwa kuna watu ni lazima wasaidiwe, kwa nyakati maalum of course maana otherwise utakinzana na interest za.wengine
 
1.utatakiwa kuripoti polisi wakupe loss report
2.utaenda nayo baraza la mitihani
3. utatakiwa kutoa matangazo ya kupotelewa na vyeti kwenye magazeti ya serikal cost yake ni kama (50k)
4.baraza wanaeza kukupa statement ya matokeo yako (hiki sio cheti halisi bt kinathibitisha matokeo yako ya mitihani)
5 habar nzur ni kwamba siku hz wanatoa vyeti vingine kama ulimaliza kuanzia 2008 kuja juu hv hutolewa baaa ya miezi mitatu utakua umepatiwa vyeti vyako gharama yake kama sijakosea ni 100k

kama ntakua nimekosea watanirekebisha
bt akat hayo yanaendelea jarbu kulitafuta hilo gar kakaae yanapoanzia kupandisha abiria either makumbusho unaeza kumuona yule konda akakusaidia poteza mda wa kama masaa matatu kituoni naamin utafanikiwa
dah ubarikiwe na kuongezewa kiongozi umenifungua sana akili kaka ..shukrani
 
Vishoka at work....za kuambiwa changanya na za kwako.
Nakupa ushauri wa bure endapo unavitahitaji sana: ukienda legally utachelewa sana au utaishia kuzungushwa zungushwa mara mahakamani mara polisi mara NECTA...sasa wenzio wakipoteza vyeti huwa wanafanya hivi: Wanatutafuta wataalamu kama sisi tuna "clone" using same technology iliyotengeneza hivyo vyeti (paper, security marks, etc). So as long as data ni zile zile, hautakuwa na tatizo au hupaswi kujihesabu kuwa umefoji. Kila cheti kitakucost laki 1
 
Vishoka at work....za kuambiwa changanya na za kwako.
NMEJIONGEZA BOSS
Waliopotelewa na vyeti vya taaluma wanapoomba kazi serikalini
Ndugu Katika mamlaka ya ajira Tanzania. Kutokana natangazo la hivi karibuni linalo eleza mambo ya kuzingatia Mimi ni Hemed A. Kavumo mmoja wa watu waliopotelewa na cheti cha form four na nimefanya taratibu zote na Necta na wakadai wameshatuma taarifa zangu tume ya ajira, tatizo ni kwamba sinahakika kua taarifa hizo zimewafikia tume ya ajira.
Wakati wa kuomba kazi kwa walio potelewa na vyeti napenda kuuliza maswali ya fuatayo.
Mtu aliye potelewa na cheti nakuripoti necta na akaambiwa taarifa zake zitatumwa nivipi atajua kama taarifa zake zakupotelewa na cheti zimewafikia tume ya ajira pindi anapo omba kazi?
Pili ni nanma gani tume ya ajira itafahamu kuwa mtu flani amepotelewa na cheti na sio kuwa hakutimiza vigezo au viambatanisho pindi anapoomba kazi serikalini?
Ushauri wangu ni kwamba aliyepotelewa na cheti na kutoa taarifa kwenye mamlaka husika na taarifa zake kutumwa mamlaka ya ajira apewe majibu kua taarifa zake zakupotelewa na cheti zimefika tume ya ajira na anapoomba kazi aandike barua kueleza kua taarifa za kupotelewa na cheti husika zimeshaifikia tume ya ajira ili kuepusha usumbufu na kuwezesha tume ya ajira ihakiki taarifa hizo.
Ahsante.
Jibu.
Tumepokea maswali yako, awali ya yote nikupe pole kwa kupotelewa na cheti cha kidato cha nne, Aidha ni kweli kwamba baadhi ya watu waliopotelewa na vyeti vya kidato cha nne na sita wanapoenda kuripoti Baraza la Mitihani (NECTA) juu ya upotevu wa vyeti vyao na wakaomba taarifa za kupoteza vyeti vyao zitumwe Sekretarieti ya Ajira utaratibu huo huwa unafanyika.
A) Kama ulipoteza cheti ukaripoti NECTA na ukawaomba taarifa zako wazitume Sekretarieti ya Ajira ili kufahamu unapaswa kuwasiliana na Sekretarieti ya ajira ili kuulizia kama jina lako limefika(unaweza kupiga simu kwa namba hii 0687 624975 au tuma ujumbe kwenye ukurasa wetu wa facebook www.facebook.com/sekretarieti ajiara). Pia unapoitwa kwenye usaili siku ya usaili kabla ya kufanya usaili ni vyema ukauliza ili jina lako liangaliwe kwenye orodha yetu tuliyoipata kutoka NECTA kujiridhisha kabla hujaingia kwenye usaili.
B) Sekretarieti ya ajira itafahamu kuwa mtu fulani amepotelewa cheti kwa kupata taarifa au jina kutoka mamlaka husika inayotoa cheti baada ya aliyepoteza cheti kutoa taarifa na kuomba jina lake litumwe sekretarieti ya ajira kama nilivyoeleza hapo awali.
C) Ushauri wako umepokelewa lakini pia unakumbushwa kufuata maelekezo yaliyopo katika maelezo ya awali katika jibu la kipengele (a) ili kujiepushia usumbufu usiokuwa na lazima ikiwemo kupunguza gharama.
 
Back
Top Bottom