Immo ring (Pete ya bahati)

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
Wadau mwenye uelewa kuhusu immo ring(au pete za mammlaka/bahati) naomba anielekeze.

1. Faida
2.Hasara

Karibuni.
 
"Kwnza Mkuu nikusahihishe hatuna pete za bahati, kama unavojua! but kuna pete ambazo ndani kuna jini linalofanya wewe uhisi unabahati tangu uivae kumbe kila jambo ulilolifanya lina sababu yake hadi ukapata tokeo zuri na kuliita kuwa ni bahati no. ila hasara zake hilo jini la kwenye pete haliwezi kukuacha na ukilizingua litakutesa sanaaaaa mpaka ufurahi"
 
Ama kweli maisha ya sasa ni magumu, hadi watu wanaanza kutafuta bahati badala ya bahati iwatafute wao.
Yan kweli watu wsnatafuta bahati na mvuto. Ni kitu kibaya sana mana wengine wanadhuru watu wengine kwa sababu hiyo. Wapo ambao huenda kqa waganga ili kupata bahati wanapewa hizo pete hasa kutoka kqa waganga wanaotumia majini. Halafu wapo ambao wakikuhisi wewe una bahati wanakuendea kwa mganga ili bahati uliyonayo àambayo umezaliwa nayo waipate wao. Hii wanaita nyota kwahiyo unakuta mtu anakwenda kqa mganga ili unyang'anywe nyota yako apewe yeye. Usiombe uwe na bahati mbaya ya mtu kukuendea kwa mganga ili achukue nyota yako omba mungu isitokee maana nyota yako ikichukuliwa utateseka maisha yako yote kama hukustukia na kujikita kqa mungu. Kimsingi wanapochukua nyota wanakuacha na mikosi ya ajabu. Wanapochukua nyota yako mara nyingi huchukua na nafsi yako so wewe unabaki kuwa sio yule ambaye watu walikufahamu. Haya mambo yapo na Ni magumu unatakiwa kugundua kuwa kuna kitu umefanyiwa ili uanze kuhangaika kqa mungu urudi kama kawaida ila usipostukia basi ndo imetoka. Kuna watu wengi sana wanafanikisha mambo yao kwa kutumia nyota za watu wengine huku hao walionyanganywa nyota wakibaki katika mahangaiko makubwa. Kwakweli inaudhi sana. Mimi yamenikuta Haya mambo na yamenitesa sana. Nimejionea mwenyewe na kuna mtu alichukua nyota yangu nikaja kugundua. Mambo yake yalibadilika ghafla na mimi nikabaki na mikosi ya ajabu.huwa sitaki hata kumuona. Na akiniona ananiogopa vibaya sana. Hawa watu hawataweza kuja kuuona ufalme wa mungu hata siku moja. Biblia imeandika hivyo. Ole wao wanaosababisha mateso kqa watu wengine.
 
Hali ngumu Mkuu
Nimeamini, nimekuwa nikishuhudia vijana wanaelemewa na maisha na wanaamua kujiua kwa sababu ya ugumu wa maisha. Ina maana hata hao wazee wetu hawakupitia magumu katika maisha yao?
Naamini maisha bila changamoto bado hayajawa maisha.
 
Mkuu Moral H ni vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu kama Ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Yan kweli watu wsnatafuta bahati na mvuto. Ni kitu kibaya sana mana wengine wanadhuru watu wengine kwa sababu hiyo. Wapo ambao huenda kqa waganga ili kupata bahati wanapewa hizo pete hasa kutoka kqa waganga wanaotumia majini. Halafu wapo ambao wakikuhisi wewe una bahati wanakuendea kwa mganga ili bahati uliyonayo àambayo umezaliwa nayo waipate wao. Hii wanaita nyota kwahiyo unakuta mtu anakwenda kqa mganga ili unyang'anywe nyota yako apewe yeye. Usiombe uwe na bahati mbaya ya mtu kukuendea kwa mganga ili achukue nyota yako omba mungu isitokee maana nyota yako ikichukuliwa utateseka maisha yako yote kama hukustukia na kujikita kqa mungu. Kimsingi wanapochukua nyota wanakuacha na mikosi ya ajabu. Wanapochukua nyota yako mara nyingi huchukua na nafsi yako so wewe unabaki kuwa sio yule ambaye watu walikufahamu. Haya mambo yapo na Ni magumu unatakiwa kugundua kuwa kuna kitu umefanyiwa ili uanze kuhangaika kqa mungu urudi kama kawaida ila usipostukia basi ndo imetoka. Kuna watu wengi sana wanafanikisha mambo yao kwa kutumia nyota za watu wengine huku hao walionyanganywa nyota wakibaki katika mahangaiko makubwa. Kwakweli inaudhi sana. Mimi yamenikuta Haya mambo na yamenitesa sana. Nimejionea mwenyewe na kuna mtu alichukua nyota yangu nikaja kugundua. Mambo yake yalibadilika ghafla na mimi nikabaki na mikosi ya ajabu.huwa sitaki hata kumuona. Na akiniona ananiogopa vibaya sana. Hawa watu hawataweza kuja kuuona ufalme wa mungu hata siku moja. Biblia imeandika hivyo. Ole wao wanaosababisha mateso kqa watu wengine.
Mkuu leo kuna mtu ka-hack account yako nini??? ....angalia kqa=kwa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom