Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali ya awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Magufuli inaendelea kuimarisha na kuboresha huduma katika sekta ya Afya nchini kuanzia ngazi ya kijiji mpaka Hospitali ya Taifa. Mipango ya haraka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Katavi limewaua watu wanne wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi wakati wa majibizano kati yao na Askari wa Jeshi la Polisi. Baada ya kupoteza maisha kwa Majambazi hao, Polisi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Msaada anayefahamu kustream DStv online through phone Kwa kutumia mb Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Ajali mbaya imetokea Nzega ndogo karibia na Nata Semi aina ya SCANIA imeigonga Suzuki na kusababisha watu watatu wa kwenye Gari ndogo kufariki hapo hapo.. M/mungu azilaze roho za marehemu mahala...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Zaituni Bokhari amesema baada ya vipimo imegundulika kuna uwezekano wa kuwatenganisha watoto pacha...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwalimu Nyerere alisema kwamba maendeleo yetu yatakuwa ni matokeo ya siasa safi, Watu, ardhi na uongozi bora. Siasa safi zikoje na uongozi bora ukoje hakusema mahali pengine akasema kwamba kuna...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nawaalika viongozi hawa waje kukutana na kuwasikiliza walimu wa shule za msingi wa Manispaa ya Kinondoni na ikibidi waondoke na mkurugenzi wao na afisa elimu wao. Waheshimiwa mawaziri...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatua ya Serikali kwamba inaangalia uwezekano wa kufuta likizo ya uzazi inayotolewa kwa baba, imeibua mjadala huku makundi ya haki za binadamu na wazazi wakitaka iendelee kutolewa kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mtu mmoja ameshtakiwa na Maafisa wa polisi nchini Australia baada ya kuvunja na kuingia katika nyumba moja kabla ya kunywa shampeni na kulala kitandani. Polisi wanasema jamaa huyo wa miaka 36...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Mara nyingi naona watu wakivaa pete za vito vya thamani kubwa. Nashindwa kuelewa ni urembo au ni nini. Mara nyingi hizo pete wanavaa kwenye vidole vya mkono wa kulia. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muombaji anatakiwa awe mtanzania kwa kuzaliwa; 1. Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25. 2. Awe amehitimu kidato cha nne na kuwa na ufaulu wa daraja la kwanza hadi la nne kwa alama 28. 3. Awe na...
1 Reactions
9 Replies
33K Views
Habari wana jf Ikiwa ni siku mpya na kila mtu akiwa kwenye purukushani za maisha tukiyandaa kesho mpya..hatuna budi kumwambia Mungu asante. Lengo la Mimi kuleta mkasa huu hapa jamvini n...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Kufuatia wito wa Rais John Pombe Magufuli alioutoa hivi karibuni, hadi kufikia tarehe 01 Agosti, 2017 jumla ya wakimbizi 6,700 raia wa Burundi wameshajiorodhesha kurejea nchini mwao kwa hiari...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Uamuzi wa kuwaruhusu wanafunzi kuomba udahili moja kwa moja chuoni kumevilazimu vyuo binafsi kupunguza ada ili kuvutia wanafunzi Vyuo binafsi vilivyotangaza kushusha ada ni Chuo Kikuu Bagamoyo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ripoti mpya imesema idadi ya watu wanaopata upofu duniani kote inaweza kuongezeka mara tatu. Utafiti uliochapishwa kwenye Lancet ambalo ni jarida la afya linaloangalia afya ya dunia linatabiri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MCHELE WA PLASTIKI; AFRICA'S SOCIAL MEDIA HOAX Mchele wa Plastic, ni uzushi wa mitandao ya kijamii/social media illusion. Habari hizi zimefika Africa miaka miwili au mitatu nyuma lakini kwa Ulaya...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
Vichwa vya habari vya Magazeti ya Tanzania ya Leo Alhamisi tarehe 3/8/2017
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Za mjioni wakuu poleni na kazi. Kichwa cha habari kama kinavyojieleza hapo juu. Kuna ugomvi mkubwa sana leo nimeushuhudia kati ya muosha gari na mwenye gari. Kama kawaida amepaki gari kaenda...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni. Nasikia kuna malalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo...
7 Reactions
152 Replies
16K Views
Nimeenda zangu bar moja Bunju njia ya Bagamoyo, lengo nipate mlo wa mchana baada ya kutoka kwenye kaujenzi kangu. Sasa akapita Mmasai anauza Pochi za ngozi (walet) basi nikainunua hii Walet na...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…