Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ni mteja w TTCL nilikiwa na simu tajwa hapo. Simu ghafla wameidisconnect bila taarifa na sababu yoyote huku ikiwa na airtime. Nilipoulizia kwa mmoja wa wafanyakazi aliniambia wameleta aina...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Siku za nyuma nchi ikiwa na mafuta inakuwa tajiri mkubwa. Siku hizi na zijazo, jambo hilo haliwezekani tena! Hata Tanzania tusitegemee tutakuwa matajiri kwasababu ya gesi, au hata mafuta. Angalia...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Najua wengi mkiona hizo percent mnashtukaa,embu turejee Greak philosophers walichosema; -Great thnkers discuss ideas -Average thinkers discuss events and -The least thinkers discuss peoples...
0 Reactions
7 Replies
972 Views
Nyumba ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imam Bukhari Jijini Dar es salaam Sheikh Khalifa imevamiwa usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana na kufanya jaribio la kuchomwa moto nyumba hiyo ingawa...
5 Reactions
86 Replies
14K Views
Salaam wakuu, Naomba anayefahamu upatikanaji na taratibu za kuingiza mbao au magogo kutoka Congo. Nina kaproject kadogo tu kanahitaji mbao kama miamoja za miti aina ya WENGE na BUBINGA. Hata kama...
0 Reactions
0 Replies
43K Views
Salaaam wana jukwaa, Naenda moja kwa moja kwenye point, jamani tujifunze kutoa sadaka kidogo ulichonacho jitahidi umgawie mwenzio asiyenacho, huenda ndio maana wenzetu wahindi wamezidishiwa...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu Msafara wa Rais (motorcade) ni msafara Makini na Wenye dhamani kubwa Popote upitapo, Traffic sambamba na wana usalama Hukakikisha Msafara huu upitapo Basi Barabara Hufungwa na watumiji wote...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Kwa anayekifahamu hiki chuo,kipo umbali gani toka mjini,mazingira yake kwa ujumla,mdogo wangu kachaguliwa huko
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Wakuu kama jana ningekuwa karibu na watangazaji wa kituo Fulani cha radio hapa jijini dar ningehakikisha nawalamba makofi angalau moja moja sababu tu ikiwa ni wao kushupalia mada walokuwa...
1 Reactions
3 Replies
949 Views
Financial lessons are necessary for someone who is in his 20s such that by the time they hit age 30, they have something – in wealth or asset form – to look back and be proud of. 20s are among...
1 Reactions
5 Replies
986 Views
Salamu, Hivi wakuu Hebu tufunguane macho hapa... Hivi hizo fursa zinazoambatana na hili bomba ni zipi?? Kwa watu waliopita Shule kidogo, ambao sio mainjinia watapata fursa gani kwenye huu mradi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Aisee hii kitu naona inatrend, kila mtu mastaa , matajiri, watafuta maisha kila nikipita huku na kule wanakushawishi ukadownload application zao. Sasa mi sielewi mtanzania ana application gani ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nini kimesababisha watumishi wa VETA kutopata mshahara wa mwezi July mpaka tarehe ya leo? Kinachosikitisha zaidi hakuna taarifa rasmi iliyotolewa na management ya VETA kwenda kwa wafanyakazi...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Bumbuli Development Corporation (BDC) December 3, 2013 · Bodi ya Barabara Mkoani Tanga (TANROADS) imepitisha maombi ya kupandishwa hadhi barabara zenye urefu wa kilometa 130 zinazounganisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tukama mwezi sasa maji yamekuwa shida hasa maineo ya pasians kiseke nk kama kunamtu wa idara ya maji aje atupe ufafanuzi tatizo nini maana biri mnatuletea tena kwa bwebwe Sent using Jamii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haya malori ambayo yanaundiwa mabodi ya mabasi na kuitwa mabasi yakipata ajali hasa ya 'kifo cha mende' sehemu yote ya juu ubonyea mpaka usawa wa chini wa madirisha. Inatokea hivyo kwa sehemu...
11 Reactions
71 Replies
14K Views
Habari ya furahi day! Naomba kujua au mimi ndio sielewi, inakuaje unasomesha mwanao shule ya kimataifa alafu anasoma mtaala wa Tanzania, kuna tofauti gani na mtoto anaesoma Nyampulukano ya...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Kama ambavyo tuliambiwa ifikapo July 2017 wataoweza kuendelea kukaa mjini ni vidume vya mbegu. Sasa wale vidume wenzangu ambao hadi sasa august hii tunakula happy mjini.. Na Windhoek tunakunywa...
1 Reactions
1 Replies
596 Views
Nchi yetu imepepitia vipindi vingi, ila kuna kipindi urasimu,madili, ubabaishaji na ujanjaujanja ulikithiri ktk taasisi za umma. ulikuwa kama ni core value ya mtu kuwa mtumishi wa Umma ingawa sio...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…