Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu wa Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda Dar es Salaam. Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Tanzania imelaani waumini 10 wa dini hiyo kutekwa wakiwa katika msikiti...
10 Reactions
99 Replies
15K Views
Habari za jumamosi wana JF. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma mwanaharakati huyu alitamba sana kwenye vyombo vya habari akipigania haki za wanawake. Nakumbuka aliwahi kuwa mkurugenzi wa...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Kumbe kweli Serikali imehamia Dodoma nipo zangu Posta mpya hapa ninanusu saa sijaona STK wala STL wala STJ kubwa zaidi hapa Posta palikuwa na wadada warembo sana unakuta wapo na visimu vyao na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
naweza sema hali imekuwa sio shwari pia kwa wasanii wa wamuziki tangu mwaka unaanza sijasikia matamasha yaliyokuwaga miaka iliyopita hali ya uchumi imekuwa mbaya pengine naona baadhi ya wasanii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni nini kinaendelea kwa wanaharakati wa Tanzania? Maana siku zote na hata kwa nyakati za mateso shida na taabu kubwa zinazosababishwa na watawala madhalimu hawa wanaharakati hatuoni wakifanya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
kwanza nikiri mpaka sasa mtandao unaongoza kwa ya internet ni halotel lakini mnaanza kulewa sifa kwa wanaotumia line ya chuo utaona kifurushi cha sh500 kimeanza kupunguzwa mb badala ya 500mb sasa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
BOMBA LA MAFUTA NI FURSA KWA WATANZANIA Commred Chichimizi Naungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli na Serikali yake pamoja na Rais...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, Kuna anaejua ni Tv gani ndio chore source ya haya matangazo live maana ubora wa picha kwakweli ukiangalia Tv zingine zinasikitisha. Star Tv, TBC, Channel 10 zote picha mbaya ni Clouds Tv...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sisi wapenzi wa Star Tv tumekwama kuona shughuli ya uwekaji jiwe la msingi la bomba la mafuta mubashara runingani kutokea Tanga. Kwanini mbona wenzetu itv, Azam, Clouds etc wanaenjoy mubashara...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Faida ya maisha ni nini? Kwanini mtu anaangaika kufanya kazi ili apate pesa, akisha zipata azitumie au ziishe au atafute nyingine zaidi. Kuna manufaa gani ya ajabu au raha gani ya ajabu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hivi hili bomba la mafuta linatarajiwa kusafirisha mafuta yatakayodumu kwa miaka mingapi huku Uganda? Mategemeo ni kuchimba mafuta kwa miaka mingapi?
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Kuna msemo usemao kila jambo lina muda wake lakini kuna kitu huwa najiulizaga . IVI itakuwaje siku WATANZANIA watakapoacha kuudhuria mikutano ya hadhara ya viongozi pamoja kutokudhuria nyumba...
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Moja wapo ya viashiria au dalili za kuonyesha kuwa umeishiwa/unaelekea kugilisika hizi hapa; 1.Unaanza kuona vitu vya umuhimu kama chai na kula vyakula vizuri ni anasa na wanaokula hawajui...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF, leo nimeona tukumbushie kauli mbali mbali za viongozi wetu, kwan kwa kauli hizo itatusaidia kujua tabia, uzalendo na vituko vyao. Mimi naanza na chache zingine mtachangia 1...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Aug 4, 2017 Tunduma, Tanzania UFANYAJI WA KAZI MASAA 24 MPAKANI TUNDUMA HAUJAKIZI VIWANGO. Ufanyaji wa kazi katika mpaka wa Tunduma na Zambia kwa masaa 24 bado haujakidhi viwango (Uchumi wa masaa...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wadau,hebu nisaidieni kwa wale watumiaji wa Airtel. Nilinunua dk 315 za mwezi za kupiga mitandao yote. Ajabu sijakuwa na maongezi ya muda mrefu sana kwenye simu. Ila, dakika hizi zimeisha ndani ya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Hadija Juma mara baada ya kusoma ujumbe kwenye sare aliyovaa mama huyo.
4 Reactions
54 Replies
11K Views
Nawasalimu wadau wote wa Jf.... Miezi kadhaa iliopita Mh Raisi John P Magufuli alipotembelea bandari ya dar es salaam na kukutana na vitu alivyoviita kuwa ni Madudu yaan (Vichwa vya...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
FAMILIA YA SHEIKH KHALIFA YANUSURIKA KULIPULIWA SHARE THIS NA ASHA BANI FAMILI ya Mwenyekiti wa Taasisi ya Imamu Bukhary, Sheikh Khalifa Khamis, imekumbwa na hofu baada ya kushindwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Mwanza. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, linawashikilia watu watatu wanaodaiwa kuwa majambazi kwa kosa la unyang’anyi wa kutumia silaha na kupora Sh464 milioni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…