Yupo wapi mwanaharakati Ananilea Nkya?

Yupo wapi mwanaharakati Ananilea Nkya?

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,851
Reaction score
7,767
Habari za jumamosi wana JF. Niende kwenye mada hapo juu. Miaka ya nyuma mwanaharakati huyu alitamba sana kwenye vyombo vya habari akipigania haki za wanawake. Nakumbuka aliwahi kuwa mkurugenzi wa mtandao wa jinsia Tanzania yaani Tanzania Gender Network Program (TGNP). Siku hizi simskii kabisa. Kapotezwa na nini na yupo wapi sasa?
 
Sasa hv kafulia sana, siasa zimemrudisha sana nyuma kimaendeleo, anauza uza Mali zake kufidia magepu, familia yake pia inampasua Sana kichwa, yaani ni noma juu ya noma
 
Siyo kwamba alikuwa ni mkurugenzi wa TAMWA (Tanzania Media Women Association) na siyo TGNP?
 
Sasa hv kafulia sana, siasa zimemrudisha sana nyuma kimaendeleo, anauza uza Mali zake kufidia magepu, familia yake pia inampasua Sana kichwa, yaani ni noma juu ya noma
Hayo ni mambo yake binafsi! Nani asiyejua kwamba alikua na mgogoro na familia/ndoa? Jikite kwenye mada! Mwanaume mdaku wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mwanafamilia Kama nimekugusa, nimeeleza nachokijua kuhusiana na huyo mama, mtoa Mada hakutoa limitations ya kipi kijadiliwe na kipi kisijadiliwe, nafikiri ni vyema kujadili mazuri na mabaya ili wengine wapate kujifunza kutoka kwenye mapito yake
 
Acha kunilisha maneno dogo..ni wapi nimejinasibu kwamba mwanafamilia? dogo una vielements vya ushilawadu..hebu grow up basi..pumbaf!
 
Tupe data bwana, kwa hiyo alileta uharakati hadi kwenye ndoa? Wabeijing tunalo la kujifunza hapa
 
Acha kunilisha maneno dogo..ni wapi nimejinasibu kwamba mwanafamilia? dogo una vielements vya ushilawadu..hebu grow up basi..pumbaf!
Huyo mnorth pole alikuwa anaporomosha maandiko ya kumtetea mamvi awe rais, naona kwisha habari yake alifikiri watanzania wote mazwazwa
 
North pole imetoka wapi? Usiigawe nchi yetu vipande, hatutaki hvyo.
 
Beijing haijawahi kuiacha ndoa salama.

Ni watu wachache sana wameenda Beijing na bado ndoa au mahusiano hadi familia zikabakia na amani.

Tatizo la Africa watu wanachukua kila kitu kinachotoka Ulaya, USA na Asia kama kilivyo na kudhania kuwa ndiyo standard ya maisha.

Pathetic kabisa.
 
Back
Top Bottom