Ombwe la kikatiba [constitutional vacuum]

McNair

Senior Member
Mar 18, 2017
182
130
Wasalaam wandugu

Nini maana ya quinquennial elections?

Mi naona kuna ukiukwaji wa maana halisi ya "uchaguzi baada ya miaka mitano"!

Ni kwamba nchi zinafanya uchaguzi while the incumbent president na mawaziri wote bado yupo/wapo na mamlaka na madaraka ya nchi and security authorities hold.

Hali hii huathiri uchaguzi kwa namna moja au nyingine na kupelekea kushindwa kwa mgombea mwingine ambaye hayupo madarakani. There is absence of political and authoritative proportionality and/or equilibrium.

Hii huchangia kukiukwa kwa katiba ambapo katiba inasema baada ya miaka mitano achaguliwe mwingine kwa uchaguzi mwingine. Maana yake hapa rais na baraza lake la mawaziri wangeondoka madarakani kabisa ili wote wawe sawa katika kugombea na nchi kuwa chini ya jaji au mwanasheria mkuu.

Nawasilisha na nipo tayari kwa marekebisho na/au masahihisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom