Halmashauri Kutoza Ada ya Paking Hospitali ni Ubinadam Kweli?

Halmashauri Kutoza Ada ya Paking Hospitali ni Ubinadam Kweli?

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
605
Reaction score
681
Inasikitisha sana mtu unaenda hospitali kutibiwa au kucheki mgonjwa wako unatoka unakuta lundo la risiti kwenye vioo eti ni ada ya kupaki gari.

Hivi watzania tumefikia kukosa ubinadam kiasi hiki? au ni kukosa ubunifu wa vyanzo vya mapato.

Nimekutana na hii kitu kwenye hospitali 2 au 3 kubwa hapa jijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleno wenye magari. Sie wapiga ngoko hatuna noma

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
Back
Top Bottom