Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu,habari za leo! Mm niko safi tu.Napambana na hali yangu. Migogoro mingi ndani ya familia huanza baada tu ya kufunga harusi. Kila mtu huchomoa makucha yake. Purukushani za hapa na pale huwa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Wengi wa waliofukuzwa kazi hawana pakuanzia ni lini serikali itawakumbuka na kuwalipa stahiki zao?? Marekani donald trump anazidi kuzalisha ajira huku kwetu tunawafukuza tena bila stahiki zao...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
“Vijana mkumbuke mtapata heshima katika biashara siyo tu kutokana na mafanikio ya kibiashara bali pia uhusiano wako na jamii inayokuzunguka” Reginald Mengi 2 Timotheo:4.2 lihubiri neno, uwe...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Mwanaadamu anaweza kuwashwa kwenye mwili wake mahala popote kichwani,miguuni,tumboni,kifuani,mkononi,mgongoni,basi anaweza kujikuna hata kwenye hadhara ya watu na wakajua kama unajikina mahala...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika harakati za hapa na pale, nilijukuta mikononi mwa mfanyabiashara Ambaye ameamua Kutumia EFD machine. Nikanunua Bidhaa ya TSH 25000/= Akanikatia Receipt kama kawaida nikaamini yuko sawa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tamaduni, nadharia na mazoea zimeathiri sana thamani ya watumishi wa kitanzania katika soko la ajira la ndani na nje ya nchi. Msishangae Bill gate kukataa kuanzisha tawi la microsoft Tanzania kwa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania yazamani, ile ilokosa thamani Twaamlilia Fulani, eti bora yake asilani Ujinga watuzonga pomoni, umezizidi homoni, Bora Leo duniani, twasema ufisadi buriani, Nitaanza upya tena, kulijenga...
0 Reactions
1 Replies
967 Views
Habari wandugu. Ukiangalia duniani kote kwa sasa kuna kazi ambazo mtu ukifanya unajikuta unadharaulika sana katika jamii. Lakini kiukweuli kazi hizi ni za muhimu sana, ambapo kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Binafsi nampongeza IGP kwa hali ilipofikia huko Kibiti mkoani Pwani, kufuatia mauaji yaliyochukua maisha ya watanzania wenzetu. Rais Magufuli alipomteua Siro kua IGP wengi tulitabiri Siro...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumaini nyote wazma wana JF, Katika siku za hivi karibuni katibu wa uenezi CCM Mr. Polepole amekuwa akijinasibu kuwa wanaotaka mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kijiunga na elimu ya chuo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
ASILIMIA 96 ya wafanyakazi wa sekta ya benki wanafanyakazi bila ya kuwa na vyeti vya kitaaluma vya sekta hiyo, imefahamika. Kama ilivyo kwa taaluma nyingine ambazo wafanyakazi wake wanatakiwa...
3 Reactions
19 Replies
5K Views
William Henry Gates III mapema leo alikuwa Tanga kwa ajili ya project zake za kusaidia Afya. Hongera Mkuu Gates kwa kuwa na moyo wa kusaidia nchi masikini.
22 Reactions
214 Replies
34K Views
Sikuandika chochote kuhusu sakata la mkuu wa mkoa wa Dsm na Jukwaa la wahariri kwa sababu sikuona kama ni jambo linalotakiwa kuteka mijadala ya nchi hii. Lakini naomba nitoe maoni yangu kuhusu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana JF Nimejiuliza maswali mengi sana, hivi hii office ya DDP ina matatizo gani mbona wao kila kesi zenye mlengo wa kisiasa wanashindwa?? Kesi zote za uchochezi au ugaidi sijawahi sikia...
0 Reactions
1 Replies
659 Views
Nikiwa ni zao la ujauzito wa shuleni, mzazi wangu akapata nafasi ya kujiendeleza na leo kanifikisha hatua niliyonayo sasa, ninadiriki kumpongeza Baba Askofu wa Kagera kwa kuondoa ukimya na...
0 Reactions
3 Replies
956 Views
Tuliambiwa kuna vichwa vya treni vilikutwa bandarini bila kujulikana mmiliki wake ni nani , naomba tujuzane kwamba hii kiki iliishia wap Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
21 Replies
2K Views
MBEYA: Meya wa Jiji, Mch. David Mwashilindi ametangaza mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu. Mpaka sasa Wagonjwa 5 wamebainika. ⁠⁠⁠⁠
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Serengeti. Basi la Kampuni ya AM lililokuwa linatoka Mugumu Serengeti kwenda Mwanza limepata ajali katika Kijiji cha Bokore wilayani hapa na kujeruhi watu watatu. Basi hilo lilikuwa na abiria...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Hope mpo pouwa hii foleni ya Mandela road sikuhizi ni balaa kutokana na ujenzi wa tazara flyover sawa tumekubali. Ila changamoto ni kua unaeza kukaa kwenye foleni zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Tembo kutoka mbuga ya Tsavo Kenya amevamia kijiji wilayani Rombo Kilimanjaro na kuzua taharuki kwa wa nakijiji, hakuna taarifa za majeruhi au madhara yaliyosababishwa na tembo huyo
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…