qaxemvule
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 231
- 120
Mwanaadamu anaweza kuwashwa kwenye mwili wake mahala popote kichwani,miguuni,tumboni,kifuani,mkononi,mgongoni,basi anaweza kujikuna hata kwenye hadhara ya watu na wakajua kama unajikina mahala fulani lakini kama akiwashwa kwenye mfereji wa makalio utamuona anahangaika kuangalia huku na huko hata kufikia kujificha sasa inatokana na nini wakati wote ni mwili wako kwani mwili wako unamipaka mahala fulani jikune watu wakuone na mahala fula kujikuna watu wasikuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app