Mafao ya walioghushi vyeti mpaka lini..

Mafao ya walioghushi vyeti mpaka lini..

emmadeclassic

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
304
Reaction score
133
Wengi wa waliofukuzwa kazi hawana pakuanzia ni lini serikali itawakumbuka na kuwalipa stahiki zao??
Marekani donald trump anazidi kuzalisha ajira huku kwetu tunawafukuza tena bila stahiki zao ingawa makosa ni ya pande zote ..
Hebu serikali walipeni hawa watu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama watalipwa kwa maana mikataba yao ya ajira imegeuka kuwa batili.
Waliingia mikataba ya ajira kwa kutumia nyaraka za kughushi. Na hilo ni kosa la jinai kisheria.
Hapa ni maumivu na kuisoma namba tu japokuwa inasikitisha na kuhuzunisha sanaaa...
 
Waende Zimbabwe tu maana Mungu wa Paulo, ndiye Mungu wa Daudi na kwa bahati mbaya zaidi ndiye Mungu wa John.

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Wengi wa waliofukuzwa kazi hawana pakuanzia ni lini serikali itawakumbuka na kuwalipa stahiki zao??
Marekani donald trump anazidi kuzalisha ajira huku kwetu tunawafukuza tena bila stahiki zao ingawa makosa ni ya pande zote ..
Hebu serikali walipeni hawa watu ..

Sent using Jamii Forums mobile app

wakati wanasubiri kushitakiwa ebo?!!
 
Na pia wapo wa darasa la saba waliondolewa mwezi uliopita mafao yao hayajulikani..
 
Back
Top Bottom