Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari ndugu zangu Mimi ni mtoto yatima niliefanikiwa kujiendeleza kufikia ngazi ya stashahada. Nimejiendeleza elimu hio kwa kujilipia ada mwenyewe. Ninafanya biashara ya kuuza mitumba kununua...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais magufuli alifanya ziara ya kushtukiza hapo kipindi cha nyuma na alifanikiwa kukamata magari 7 ya kifahari yakiingizwa nchini kinyemela kupitia mahakama ya kisutu Jijini Dar es salaam...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wadau, Bomoa bomoa Kimara, Mbezi, Kiluvya imefikia ukingoni, TANESCO wameshaanza kukata umeme nyumba zenye X hii inaashiria TANROADS wapo serious. Kuna maghorofa mengi sana yapo karibu na...
14 Reactions
76 Replies
8K Views
Ndg wapendwa wa JF naomba mwenye uelewa juu ya Passport ya kitabu,anisaidie mlolongo mzima wa viambatanisho na fomu zake taarifa gan za msingi za kujaza, Asanteni kwa msaada wenu Sent using...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Shule ya secondari shamsiye boys inawakalibisha wanafunzi wanaotaka kujiunga na kidato cha kwanza muhula wa masomo kwa mwaka 2018 kutakuwa na interview kwa masomo ya sanyansi na hisabati terehe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA,MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe Ummy Mwalimu mapema...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Bw. James Ihunyo amepiga marufuku kwa mtu yeyote kufanya sherehe bila kibali kutoka kwa mtendaji wa eneo husika ikiwa pamoja na na kuuza chakula kiholela jambo litakalo...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna maendeleo makubwa yanaonekana kwenye mapambano dhidi ya mauaji wilayani kibiti... Tunapaswa kupongeza organs zote zilizoshiriki mafanikio haya... Haikuwa kazi rahisi hata kidogo... Na...
20 Reactions
81 Replies
9K Views
Wilaya za Chemba na Kondoa zimekusanya Madaktari Bingwa wapatao 31 kutoka katika Taasisi ya Benjamin Mkapa na Hospitali ya Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kuendesha zoezi la “Kliniki Tembezi” ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Taasisi ya Kupambana na Rushwa Takukuru, linamshikilia kijana mmoja Andrew Kevela Yona kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa baada ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wananchi wa Kibiti mkoani Pwani wametakiwa kuendelea na shughuli zao za kimaendeleo na kijamii ikiwemo kushiriki katika ibada misikitini na makanisani kutokana na kuimarika kwa hali ya ulinzi na...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Walevi wanaelewa sana maana ya neno shida. Walevi ni rahisi sana kusaidiana au kumsaidia mtu kwa wepesi zaidi kuliko wale wengine. Walevi hawanaga majingu, ni watu wa mikakati na utekelezaji...
26 Reactions
128 Replies
13K Views
August 9, 2017 kulikuwa na headline kutoka Mwanza ambazo zilieleza taarifa za mke wa Mwenyekiti wa Mtaa wa Majengo Mapya uliopo Kata ya Mabatini, Mwanza kudaiwa kupigwa risasi na Askari Polisi na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau, Hali yangu ngumu sana nimejichanga natarajia kujenga kwa tofali za kuchoma ambazo hazijachomwa nina sement 10 bati 20 mbao 30 uwezo wa tofali za kuchoma sina, je nitamudu? Sent using...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hodiii mashosti na kaka zangu:) Kwanza asanteni kwa ukaribisho mubashara...ati naskia thread yangu ya utambulisho ndio ya kwanza kuwa na replies nyingi hadi 500-600 comments! I was honored. Hii...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mi ni miongoni mwa msikilizaji mkubwa wa redio hii ila kinachonikera sana ni jinsi huyu mtangazaji wenu Masai ! Kila akiendesha kipindi na mtangazaji yeyote yule utamsikia yeye tu anazungumza...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hakuna sababu ya kuendelea na huu utapeli. A pyramid scheme in disguise.
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Hii habari nimeiona kwenye gazeti la udaku kuwa si haba Dar kuna nyooka. Nani wa kuangalia huko mikoani? Nimeyaona juzi kati Kahama eeeh balaa. Yaja pikipiki ina abiria haijasimama imezungukwa na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inawashikilia watu wanane wakiwemo waliomvamia mwanamke wa DK Slaa, Josephine. Josephine alivamiwa na majambazi hao na kumpora vitu mbalimbali jula 13...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…