Jamani Triple A hamumuoni Brown Masai?

Jamani Triple A hamumuoni Brown Masai?

shetani mzee

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
21
Reaction score
27
Mi ni miongoni mwa msikilizaji mkubwa wa redio hii ila kinachonikera sana ni jinsi huyu mtangazaji wenu Masai ! Kila akiendesha kipindi na mtangazaji yeyote yule utamsikia yeye tu anazungumza hampi nafasi mwenzie aongee ! Mwenzie akiongea anampandia juu mazungumzo yake yaani hampi nafasi mwenzie aongee yaani ana-dominate kipindi yeye tu ananikera sana huyu mtangazaji naomba awe yeye tu anaongoze kipindi bila wenzie kuwepo maana nahisi anapenda sifa sana nawaonea huruma sana wenzie maana hawasikiki kabisa !! Nawasilisha naomba uongozi umwangalie maana hatupendi hiyo tabia !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiki ndo maan hata redio nyngne hazmchukui

Sent from my Android phone
 
Yaani akiwa kweye kipindi na mwenzake akiongea anampandia hewani hadi mwenzake ananyamaza maana anaongea hana nukta wala koma ni kububujika maneno tu !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameenda kumuokota mmasai huko loliondo wanategemea nini....radio nyingine so unproffessional
 
Radio nyingi za arusha watangazaji hawana mvuto ni kupayuka tuuu na mada za kitoto kila wakati, sijui wanawatoaga wapi
 
Back
Top Bottom